jk na mkewe wakiwa na watoto wao siku ya mahafali ya ridhwan desemba mwaka jana. ni famila ya nyerere tu iliyoweza kujulikana kwa kadamnasi namna hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Michuzi kuna wengine hawaonekani hapo ebu sema kweli siwe ni kuchokoza mjadala kama ilivyo kazi yako.

    ReplyDelete
  2. kwani anao wangapi?

    ReplyDelete
  3. jk anawatoto kila kona hapa mjini, hata hapa mtaani kwetu anaye mtoto.
    kwahiyo familia za kwanza ziko kibao mjini hapa.kcc

    ReplyDelete
  4. jamaa handisamu lakini watoto wabaya kaaa mkapa.mmmmmmmm!

    ReplyDelete
  5. Michuzi majina basi. Namfahamu Ridhiwani tu kwa sababu ya siasa zetu za Mlimani.Na hao wanaosemwa na akina-anonimous kama wapo tujulishe. Niliwahi kusoma kwenye gazeti la Bongo kuwa watoto wa Mkubwa wako 8. Ukweli wake siujui.

    ReplyDelete
  6. John Mwaipopo toa picha yako cause it is too ugly !!!

    ReplyDelete
  7. Sina nyingine. Hii nilipigwa na kamera ya mshikaji halafu yuko mbali. Halafu haitoki. Sijui imerogwa nini. Tukapige ramli.Au vipi. Na mimi siipendi kweli kweli.

    ReplyDelete
  8. Mwaipopo nafikiri huyu anonymos ni mgonjwa wa ubongo na siyo akili tu.
    Yeye kama ni mzuri mbona haweki yake,nina wasiwasi ya kwake tukiiona tutatapika.Sina kawaida ya kujibu issue kama hii lakini huyu mpuuzi amenikela, na wewe mpuuzi kama umefirisika kichwani basi katibiwe Milembe Hospital bado iko haijafungwa ni hospitali ya wangonjwa wa akili na ubongo,nasema hivi kwa sababu watu tunaosoma blog hii ni watu tuliona heshima zetu na tunataka majadiliano ya maana na nasaha za maana siyo pumba kama yako.

    ReplyDelete
  9. kwani watoto wa rais hawawezi kufanana na mkapa? vipi na wewe umefanana na mkapa nini? mie nimefanana na kikwete.

    ReplyDelete
  10. kuna wakati niliona picha za familia ya JK kule kwenye maktaba ya picha ya www.uchaguzitanzania.com wako wengi zaidi ya hao...au labda wengine ni wajukuu...nadhani sijui walikuwa white sands au BBH..na ilikuwa siku hiyo hiyo ya mahafali ya bwana Rithwani.

    jamani mie mwenzenu hili naliona gumu kweli, labda ndio maana ya uhuru wa mawazo.. hivi unawezaje kumwita binadamu mwenzio mbaya??at most unaweza kukiri someone is handsome.....

    sasa ndugu yangu Mwaipopo, uko mtoni unaoga, halafu akaja punguwani akachukua nguo zako na kukimbia, je wewe utabakia ndani ya maji au utatoka umfukuze? nani atakuwa mwenye nafuu??

    ReplyDelete
  11. Swali nimelielewa vema Mark Msaki. Mwenye upeo ameelewa pia.

    ReplyDelete
  12. yale mashindano ya sura mbaya ya kina dakta remmy sijui yameishia wapi maana huyu mwaipopo na wanae JK wanaweza kuwa washiriki muhimu sana.

    ReplyDelete
  13. Hapana licha ya kuwa nafahamu kuwa kuna msemo usemao, Dont argue with a fool...hapana! Nimetumia kauli za kishule shule huko juu lakini hapana. Nitaandika mada hii kwangu nikitulia lakini hapa ninene jambo. Tumeishi kwa heshima kwa siku nyingi. Magazeti yetu haya yamepata mashabiki wengi na wengine ni akina anonimasi kwa sababu wameshindwa kufungua yao. Lakini sisi wavumilivu sana ndio maana tunatoa taarifa za kila anayependa kufungua Gazeti Tando lake. Lengo la kufanya hivi ni kutoa ramani ya maisha ya fikra za kila anayependa jamii ijue uwepo wake pia akitunza kumbukumbu zake. Heshima hii ilikuwepo siku nyingi tazama kazi ya Shaaban Robert Kusadikika ilivyowatukana Waingereza lakini ni hao hao waliyoichapisha. Ukweli huu wa matusi ya Shaaban Robert aliuendeleza katika Maisha yangu Baada ya Miaka 50 na bado Waingereza wakaendelea kuchapisha kazi zao. Kuweka maoni katika magazeti tando kunaweza kusitishwa na mmiliki au kufuta kabisa kisehemu cha anonimas. Wengi tumeacha uhuru huu tukiamini kuwa tunataka akutoa fursa ya agenda nyingi hata zile zinazohitaji kuhifadhi majina ili ujumbe wetu unufaishe umma. Hapa tunapofikia ni kubaya, kuwafananisha watoto wa mzee fulani namna upendavyo ni vema tu kama utaweka maoni kama hayo kibarazani kwako na kumiliki haki ya maandishi yako. Kumtukana mtu mathalani katika maumbile ambayo yeye hakuwa na nafasi ya kujipatia ni kosa la kiiumbaji,ni ubaguzi, ni uzandiki ni dhambi chafu, ni kumeza sumu ya bafe n.k

    Si lengo langu kuutukana mkono baada ya kunitolea mwiba katika mguu wangu. Ashakum sitafanya hivyo maana kuna miili mingi yenye miguu bila mikono...miili hii ichomwapo miiba hutaabika sana. Sioni stahili ya mimi kuwa hivi na yule kuwa vile. Kiundani zaidi sioni stahili ya mimi kujiita bora na kumuita yule bomu. Siwezi siwezi na hapa sina msamiati bora katika Kamusi ya KISWAHILI zaidi "aslani siwezi". Nikamilishe hoja yangu kwa kuomba radhi kwa mliojeruhiwa na Anonimasi hawa, na kilio changu kiwe mvunje kabisa mjadala huu hapa na pia niombe ndugu Michuzi ukemee jambo hili kupitia maandishi marefu kabisa nje ya ukurasa wa maoni. Tusipoteze agenda, tuna mengi ya kufanya, na tunafahamiana nini tunahitaji. Tutumie fursa finyu tupatayeo kusukuma agenda na kamwe hawa wanaoficha sura zao wasitukatishe tamaa. Tuwapuuze kama tulivyowahi kuimbishwa wimbo wa Banda wa Malawi kutuvalia Ngozi ya Chui kututisha Watanzania. Sijui hata leo alitutisha nini, lakini tuliimbishwa kuwa hatujali hatujali na hatujali.

    Naomba kubarizi hoja

    ReplyDelete
  14. wewe msaki kuwelka picha yako hapo ni ushamba,
    sasa kama kina "Anony" tunakuudhi unafuta nini hapa, kwani hii site yako?
    unaonyesha wazi ulivyokuwa na fikra finyu kwenye ubongo wako finyu,ni hakika kabisa wewe na nduguyo mwaipopo, mnaona kuweka picha ndio , eti muonekane nyie kina nani! mbona hata mwenyewe michuzi hajaweka picha yake hapa.
    michuzi kaweka uwanja huu watu waseme yao yaliyo miyoyoni mwao.

    wewe ndugu naona unakitabia, tena kichafu sana, maelezo mengi sijui shaban robart,sijuini nini, yametoka wapi hayo? makengeza ya akili hayo bwana msaki.

    kumwambia mtu unasura mbaya sio kosa, hata kidogo tena wamefanana na Rais mstaafu na hata mmjowao kumshinda Dakta Ongala.
    au nimekuuzi kwasababu ni watoto wa Rais?
    mwisho nakwambia hii kitu imewekwa hapa na bwana michuzi na tunaipitia kila siku kwa sababu this guy is the best in bussiness in town.sasa fungua yako wewe na mwaipopo. have a cup coffee mateee!

    ReplyDelete
  15. kwa kweli sasa huu uwanja umeingiliwa. na hii inadhihirisha kwa watanzania wengi kuamka na mnazi asubuhi badala ya chai. ninachojua ni kuwa blog hizi zilikuwa na malengo yake mazuri tu. lakini sasa inaonekana blogu za wabongo zinataka kugeuzwa kuwa mipasho - maana hata DHW haijafikia kiwango hiko.

    Anony unatuudhi wanablogu na maanony wengi sana. sio siri. unadhani ni lazima sana Michuzi akupe ruhusa ya kutoa maoni? je unadhani kuna mapato yoyote yanayopatikana kwa kubandika poster bloguni? au kuchangiwa? bwana Michuzi pia ana uwezo wa kuweka filter na kuruhusu mawazo ya wachangiaji kuonekana baada ya yeye kuyaaprove. nadhani bwana Michuzi huu ni muda wa kufanya hivyo sasa, unless hili blogu litaharibika.

    suala la kuweka picha mimi siwezi kuona kwa nini linamkera mtu mwingine. zaidi zaidi lina faida ya kudhibiti ndimi zilizokosa malezi.na ni wengi tu wana picha kwenye blogu zao. kuweka picha pia ni option iliyopo kwenye blogu (ni kama signature kwenye mail adress). nadhani suala la ushamba kama lipo basi na ni kwa waliounda huduma hii na si watumiaji.

    kusema watoto wa Jakaya wamefanana na wa Mkapa ni kumdhalilisha Jakaya. una maana mama Salma alitembea na Mkapa? Ninaomba tujitahidi tuwe na nidhamu na tuheshimu uhuru wa binadamu wengine. je wewe una familia? je umewahi kuzaa? ni nani alitoa mamlaka ya kumuita binadamu mwenzio mbaya? je unajua kuwa hujafa hujaumbika? au mwenzetu una uhakika utakufa ukiwa hivyo unavyojiona?

    aksante

    ReplyDelete
  16. kwa kweli naungana na bwana Anony hapo juu. ni vyema uhuru tulionao ukawa na mipaka (usivuruge uhuru wa binadamu wenzio). mfano nimeona na nilisikitika sana kusoma maoni ya wachangiaji pale kwenye picha ya Mpakanjia. wengi walitoa maoni mazuri kuhusiana na kuhoji uwezo wake kwa nafasi ya ubunge aliyoipata. lakini sasa kuna wengine wakatoa maoni wakidai ana uhusiano wa kimapenzi na raisi Kikwete. wote tunafahamu kuwa Amina ameolewa na bwana Mpakanjia. wote tunajua kuwa Raisi ana familia yake (mke na watoto - ambao wengine mmewahukumu kuwa ni wabaya sijui mkiwalinganisha na nani). Sasa ukijiweka kwenye nafasi ya yeyote aliyetajwa hapo utajisikiaje? je mateso ya ndoa yatakayotokana na tetesi hizo ni nani atawasaidia hawa kuyabeba? ni vizuri zaidi kama maneno hayo yanayodaiwa yangeweza kuhakikishwa!.

    ReplyDelete
  17. nyie kina anony hapo juu mnamawazo mafupi sana na tafsiri zilizopitwa na wakati. ila sina uhakika kama ni wajinga.
    tena inaonyesha mna ubinafsi wa hali ya juu, nyie pamoja na msaki.

    kwanza ni madikteta kama mkipewa madaraka,
    jamani naeleza mawazo yangu baada ya kuona picha, nyie kinawawauma, ni juu ya nini! au kinawahusu nini nyie? au mnaona JK ni Rais kwenu zaidi ya wengine?
    kwanza hii sehemu ni ya "comments" nimecomment nikaa acha hapo, wewe ukawashwa! take it or leave it.
    kuonyesha kwamba nyie ni pungufu kichwani, mkasema eti michuzi weka filter, ushauri mbovu kabisa,
    maanake itakuwa ni kupata comment za aina ya kumpenze yeye au watu fulani.
    au ukimwambia mtu kafanana na Tyson basi manake mamake alilala na Tyson? mara ngapi unasema fulani kafanana na fulani?
    mara ngapi mnasema jamaa anasura mbaya? acheni unafiki.
    ndio najua kwamba kumwambia mtu una sura mbaya ni rude, lakini mimi sifanya hivyo kwao.
    huyu bwana (msaki) anatumia picha yake kuonyesha makucha yake,kama sitakiwi kutoa comment za aina hiyo kwasababu sina picha.
    hii inaitwa freedom of expression ni sheria kuu katika kila nchi yenye demokrasia ya kweli.

    ReplyDelete
  18. anony picha ya msaki i wapi? nimeona jina tu.

    ReplyDelete
  19. nadhani huyu anony hajui kuwa hata wahusika wanaotajwa kuwa ni wabaya nao husoma na kuchangia pia. hivyo wanaguswa na matusi yake. lakini nadhani tumsamehe lazima kuna kafyuzi kamekatika ubongoni mwake. hatuwezi kuwa wote sawa la sivyo Milembe ingekosa wateja.chale

    ReplyDelete
  20. Hata ikiwa nao 100 sawa tu.Wote ni watoto wa mungu.

    ReplyDelete
  21. jamaa wamevimba nyuso kaa mkapa, sijui ndio kuku kwa wingi au ndio mapozi! semeni ukweli , mbona watoto wa mzee ruksa walikuwa wanavutia.

    ReplyDelete
  22. tena huyu wa kushoto kabisa kaa mtambo kidogo anaonekana,au mapepe sana.

    ReplyDelete
  23. Tukiendelea kwa mwendo huu hatutafika mbali!!!!MAKENE ameongea mengi na wengine wenye busara pia wameona yale mapungufu ya kifikra walionao baadhi ya wenzetu wasiokua na majina!!

    Sura kitu gani jamani????Kwanini tufike huku tuje kutukanana katika misingi ya maumbile na muonekano??
    Uwekaji wa picha ni uamuzi wa mtu ambao hauna haja ya kutumia mda kuujadili na kuacha yale ya msingi!!!Tukifika huko kuwashambulia ndugu zetu Mwaipopo na hata watoto wa RAIS sijui tunakwenda wapi???Au tumefilisika kifikra ndugu zangu???

    Na kuna wengine wanadiriki kumuita Rais wetu ni MHUNI na mwenye watoto kila kona!!!hii itatusaidia vipi sisi wasomaji????Haya maneno ya mitaani yasiyokua na msingi wowote kwanini tunayapa kipaumbele namna hiyo???MBONA huyo MAKENE anayefahamu undani wa familia ya JK amenyamaza kimya????

    ReplyDelete
  24. kiongozi anatakiwa kuwa kioo cha jamii, kama anamambo machafu inabidi aache mara moja tena aombe msamaha umma waTZ, tumechoka na viongozi wahuni na wasiojali maadili ya kifamilia,
    tuko kwenye vita kuu ya kupambana na ukwimwi, ama sivyo tutashindwa vita kama tutashindwa kuwa wakweli.
    sio lazima aseme MAKENE ndio iwe sahihi, kama kuwa watu wanajua nyendo chafu za waheshimiwa na kuziwa hapa sio kosa vilevile, ni Rais wetu.
    na hata huko majumbani kwenu muwaambie wakubwa zenu kama wana nyendo chafu, sio kosa wala kutokuwa na heshima kwa kuwwaambia watu ukweli.
    waafrika kwanini ukwimwi unatumaliza? au ni kutokana na watu wenye vitabia kaa fikradhabiti, kuogopa kum-upset somebody!

    ReplyDelete
  25. we anony mpuuzi mpuuzi nini aombe msamaha amemlala mamako au amemlala mkeo, mwacheni baba wa watu uhuni nyie ndo mnatafua wanawake? fanyeni heshima tafadhalini kwanza wewe unyesema mambo hayo ndo malaya mkubwa sijui hata nguo unavaa za nini? wakati kila mtu anajua uchi wako. huna haya wewe.

    ReplyDelete
  26. umentuka nguoni.nitakupiga kipara wewe

    ReplyDelete
  27. ndo ulivyozowea hivyo mwisho utampiga baba mkwe wako kipara, nakuombea mungu akulaani uote mabusha na matende, alafu tuone kama kipara utakuwa hujipigi mwenyewe na viganja vyako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...