Home
Unlabelled
kinasha bado wamo!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, asante kwa picha hii. Carolla...acha tu. Nasikitika kuwa nchi yetu haifahamu vizuri kipaji na ujuzi wa dada yetu Carolla. Mara ya mwisho nilimsikiliza mwaka 2001 pale IFM kwenye mkutano mmoja...alitumbuiza na gitaa lake. Huwa akiimba ananikumbusha wanamuziki kama Makeba, Masuka, Kidjo, n.k. Tafadhali ukikutana naye mpe salamu.
ReplyDeleteCarolla anajihusisha na mradi uitwao Women's Voice ambao unapatikana kwenye anuani hii: http://tinyurl.com/lvm2c
Pia wanahitajika watu kuchangia kwenye ukurasa wake ulioko kwenye kamusi elezo ya Kiswahili. Ukurasa huo ni huu hapa:
http://tinyurl.com/p5egs
Carolla Kinasha ni maneno ingine kabisa bado sijaona wa kumsimamisha naye.
ReplyDeleteNdesanjo usihofu tutajitahidi kuujaza ukurasa wake.
Michuzi, ukipata simu yake basi tusaidie.
Asante NDESANJO kwa kunikumbusha mtaalamu mwingine Masuka!!
ReplyDeletekeep it up karolla kinasha,naamini kupitia web hii,wengi wa namna yako watahamasika, siku hizi hakuna kazi ya mwanaume, wote mzigoni tuu
ReplyDeleteMichuzi ahsante sana, ninakumbuka mbali sana ninapomuona dada Carola
ReplyDeleteMimi namkumbuka tulivyokuwa naye pale chuo kikuu maeneo ya Ubungo kwenye yale magorofa marefu. Ilikuwa kati ya mwaka 1985 na 1988 hivi, inawezekana wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa.
ReplyDelete