kocha cravalho neider colmeraur dos santos akiwaangalia simba wakimpa polisi dodoma 3-1 leo neshno stedium leo hii, alikoenda mara tu baada ya kutua dar. kushoto ni mwenyekiti wa friends of simba evans aveva na kulia ni mwenyekiti wa kamati ya muda ya simba, maiko wambura. yanga wameshinda kutwa nzima wakizomea ati kocha huyu kwao ni mpiga dawa viatu - yaani shuushaina!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Yaani hawa Simba acha tu, wanaweza kutafuta kocha wa kigeni haraka wakati timu ya taifa na TFF ya Tenga wanangoja hadi waambiwe na Rais. Haya ndiyo tunataka kusikia, maana Simba kwa jitihada za kutanua soka lao ziko juu ila kuna wajinga fulani wanaoharibu chama hiki maarufu kabisa Afrika.

    ReplyDelete
  2. huyu tapeli kweli, eti katia jina la kibrazili kimkwala eti,,, dos santos.mpaka rangi kweli huyu itakuwa. jamajuah

    ReplyDelete
  3. TAFADHALI TUWEKEE PICHA ZA YALE MAJAMBAZI MAKUU, USIYAOGOPE HAYAWEZI KUKUMALIZA WANABLOG TUTAKULINDA.

    ReplyDelete
  4. hivi tunakumbuka miaka ya 80's simba walienda brazil kujifunza samba..wakarudi wakatisha tisha...hivi ile stori iliwezekanaje siku zile za kiza na iliishia wapi??

    ReplyDelete
  5. Tunadhani mtu akitoka Brazili akaitwa Dos Santoa basi ni kocha wa kutupwa...

    ReplyDelete
  6. Sasa nadhani mda wa kuelekeza nguvu katika kuwajengea uwezo makocha wa ndani(wazawa) umefika.

    Naamini kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufundisha kabumbu bongo kwahiyo sioni kwanini wasipate nafasi za kwenda huko ulaya au brazili tunakokuona kuna uwezo mkubwa kitaaluma kutufundishia watu wetu.

    ReplyDelete
  7. Dos Santos isiwatishe kona ya msimbazi kwani hata wazawa tena weusi wanaiweza hiyo kazi.Igeni hata mfano wa bingwa mtetezi jack boys tena kutoka hapa Malawi tu mbona mambo yao safi???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...