ndesanjo iwapo wafikiria kurudi na ndinga fikiria tena. hii ni msimbazi raundabauti na sio maegesho ccm kimara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. summer time hiyo .jamjuah

    ReplyDelete
  2. Michuzi amagali gosa ago Pambwani apo naloli akuandaniya ukwisa ukunyambilila ku kibanja kya Nyerere ni igali lyako muno kwa jobile mu kalata jako imbepe?

    Wengine: Idhaa imebadilika ili kufikisha kwa usahihi zaidi ujumbe huu kwa mwenye blogu. I am now vigilant some budies, notoriously by the name of 'anony', would be offended by my 'subconscious' inclusions of "ga's" had I to write in my broken Kiswahili.

    ReplyDelete
  3. we kweli mwaipopo akili yako inatutia mashaka sana,,,!
    sasa umeandika nini sijui, sasa sijui kwanini usingemuandiakia michuzi email/private kabisa.
    sasa unasoma mwenyewe na kuelewa mwenyewe then unacheka mwenyewe, we kichaa kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...