Home
Unlabelled
polusheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MMMMMHHHHH NI KANDAHAR AU???/
ReplyDeleteBarabara nzuri magari mabovu hivi maafisa mipango wanakuwa wamelewa 24/7
ReplyDeleteau kitu gani? Na kwa nini watu wa nchi zilizoendelea wanatukopesha pesa za kutengeneza barabara mpya halafu wanatuuzia magari mabovu yaliyotumika yanastahili kutupwa jalalani huko kwao na hawataki kutukopesha hela za kununua magari mapya? Nitahama nchi hii mimi niende Ulaya nikabebe mabox kwenye maduka kwa hasira Kama mambo yataendelea hivi.Michuzi nishike mkono nisikupige kibao sababu picha hii inanipandisha hasira.
HEBU ANGALIENI VIZURI HII PICHA NYUMA YA DALADALA MNAONA NINI? NI MOSHI WA GARI AU? MAANA NASIKIA MAJINI NAO HUWA WANATOKEA KWENYE PICHA;MI NAONA KM KIBWENGO HIKI KINAELEA BARABARANI.
ReplyDeletehii inatokea ukitua airport dar.ukiingia tu nyerere road unaona moshi umejaa barabarani toka kwenye magari yaliyo mbele yako.ukishakaa bongo kama wiki hivi,huoni tena moshi and everything looks just so fine!
ReplyDeletejamani magari kama hayo yangetolewa barabarani ndo maana watu wanakufa na kansa
ReplyDelete