Home
Unlabelled
moita-bwawani waandamana a-taun leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KAMA WANADAI VYOO SAA HIZI INA MAANA CURRENTLY WAJISAIDIA WAPI?, NA WANAJISWAFI NA VIPI?.. BONGO TAMABARARE MSEMO WA BRO MITHUPU..
ReplyDeleteJamani sisi watanzania ni wavivu sana kama Raisi Mstaafu Mkapa alivyowahi kusema. Sasa vyoo si wachimbe? na maji si wachimbe visima? Yaani hawa ni wakuwachapa bakora haswaa. Pumbafu kabisa nendeni Darasani huko!! wengine hapo mnafuata mkumbo tu, mtakuja juta baadaye.
ReplyDeleteAnony [mshamba] april 05, 2008 7:02 AM
ReplyDeleteWatoto wameenda kusoma au kuchimba vyoo na visima? na hapo hapo unasema nendeni darasani. naona uliandika ukiwa umelewa lakini maneno yako ni ya kipumbavu kabisa