mama wa wabunifu wa mitindo nchini asia idarous wa fabak fashions (kati, mbele) akiwa na wabuni mitindo wengine pamoja na mamodo ikiwa ni pamoja na miss tz 2007 richa adhia wakati wa hafla ya redds kutiliana saini mkataba mpya wa udhamini na kamati ya miss tz ambapo kampuni ya bia - tbl- itamwaga milioni 100 kupitia kilaji chake cha redds kudhamini mashindano ya mwaka huu ambayo inasemekana yatakuwa bora kuliko yote yalopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hey!toka lini zamda akawa mbunifu wa mitindo?but she looks mwaaaa sana.keep it up girl

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...