Stan Boi akiwa kwenye stage katika Holiday Jam. Wengi hawaamini kweli kijana wetu anaweza kufika hatua kama hiyo.

Pia wanaweza kucheki kwenye link hizi hapo chini:

http://www.youtube.com/watch?v=t0TEkTmIZIw

http://www.youtube.com/watch?v=-WKS2NSTVKc&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=o2ERZas1AHM&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=OmQtIEghUBI&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=zGDU5efXo9w&feature=related

Pia wanaweza kupitia website ya

www.power939.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mboni anapiga kelele

    ReplyDelete
  2. izo meza uko nyuma,yani copy n paste ya meza za hospitali fulani kabisaaaa

    ReplyDelete
  3. Stan Boi

    Achana na maanony wa hapo juu, soon I hope you will be a hit in Music Airwaves....

    Hawa jamaa hapa juu inabid mjue kukubali Kuappreciate kudadadadeki dogo anaimba vyema na kumbuka hiyo yuko kwenye stage inayojulikana na audience ya kueleweka. Big up sana.

    Umeshaona stage za kina alikiba wakienda huko mamtoni, compare and then ndio utoe koment si kusema anapiga kelele, jinga kabisa...

    Soon tutakuwa na mwakilishi mwingine kitaifa kwenye music kama alivyo hashim kwenye soka na kina henry joseph kwenye soka etc...

    Think and analyse b4 you comment

    ReplyDelete
  4. Sioni msingi wa excitement around this boy.. what has he achieved? A heavily computer aided voice engineering? A photo-shoot with America's normal people. Jamani eeh, wakati wa kutazama mafanikio kwa kuangalia marapper umepita sasa. SOMENI eeh!!

    ReplyDelete
  5. akuna kitu.

    ReplyDelete
  6. Stan Boi, I can't understand what you are saying! Can you upload a clip in Swahili please.

    Mdau
    DSM

    ReplyDelete
  7. mdau uliyeleta hii habari wewe ndio unaturudisha nyuma. Kwa nini useme watu hawaamini eti kijana wetu....Such a negative talk is extremely bad!!! Kwani sisi ni watu tofauti na wengine?! Kwani sisi tuna ball moja?!
    Kama kijana anafanya vitu mpe haki yake si kumbeza...WAtanzania wapo wengi wenye ujuzi mbalimbali tatizo ni watu wenye mawazo kama ya kwako.. ambao kwanza kabisa tunajiponda wenyewe sasa nani atatupandisha juu???
    Be positive of heaven's sake!!
    Mdau

    ReplyDelete
  8. sasa michuzi unatoa link ambazo haziwezi kukopika wala kubonyezeka unataka tuziangalie vipi au ni feki?

    ReplyDelete
  9. Mbona 90% ya comments hapa ni negative??? Homies, WaBongo?! Come oh man, I don't get it!! This boy is doing his best.. and I think he is really good. Lets try and support US (sorry, us as in SISI and - and not United States).

    Samahani, naomba nitafasiri hapo - maana sisi tulio huku tumezoea lugha ya mama (Malkia) so nimejikuta automatically nikianza kutype ktk lugha hiyo (msije wadau mkaanza oh unadharau Kiswahili, no, naipenda lugha yetu thank you very much!) - Anyhoo, tafsiri:

    Mbona asilimia 90 ya kauli hapa ni hasi??? Ndugu/jamaa, WaBongo! Hima hima!Hainiingi hii! Kijana huyu anajitahidi kadri ya uwezo wake.. Na ninafikiri ni mzuri hasa! Hebu na tujaribu kuinuana (Samahani, US kama sisi - na si Marekani).

    Samahani Michuzi, nimeona hii sasa imezidi! Kila anayetoa comment anaponda tu - ilhali ukiangalia Youtube - kijana anafanya vizuri kabisa! Why??? Sijui ni roho mbaya au wivu? Watanzania tupendane jamani!

    Mdau Nansio - NB StanBoi - Keep it up homie!! (you can reach me at: survivordeny@hotmail.co.uk - I would like to have a copy of your single/demo - who knows, I might be able to get you some sponsors with/in the people I work with here).

    ReplyDelete
  10. Bongo...the self hate capital of the world! Its a miracle how anyone manages to succeed out of that cursed place, chuki binafsi everywhere!

    ReplyDelete
  11. Tarehe Fri Feb 12, 10:57:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
    nakubaliana nawe kabisa
    SOMENI
    SOMENI

    ReplyDelete
  12. Dogo yuko juu
    Hakuna mtanzania yeyote duniani aliwahi ku-perform mbele ya wamarekani.
    Alikiba anawakatia viuno madada wa kikenya. Tena anatumbuiza kwenye kumbi kama chumba

    Dogo anaingia kwenye halls zenye hadhi ya kati za USA na wanugu wanainua mikono

    Kam on wanga. Msifuni home boy. English yake nzuri pia msijifanye mnaua. Mmezoea english ya shule "ati imba kiswahili-nyambaf" Niko US 10 yrs siwezi kuwa na ngeli nzuri kama ya dogo

    Gheeeeeeeeee mnaboa wabongo-Roho mbaya. Wote wachawi. Ndomana hatuendelei

    Wewe unafanya nn zaidi ya kuponda?

    ReplyDelete
  13. ndio imekuwa tabia zetu wabongo kuponda nakumbuka Hashimu Thabiti alivyoanza hum humu watu walikuwa wanamponda sasa dogo huyo nahuyu sasa hivi mtamsikia acheni wivu mpeni haki yake anajitaidi anahitaji kuungwa mkono na wabongo wenzake sio kuponda tubadilike ni mtazamo wangu tu jamani.

    ReplyDelete
  14. I suuport you anony wa Feb 13 5:47:00 watanzania wamezidi roho mbaya. hawawezi kumpa mtu the deserved positive comment. They see negativity in everything. Hata baadhi ya watu from other countries wamenotice hili kuhusu waTZ. We thrive in tearing each other apart while pretending to be in unity and love.SHAME!!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 29, 2011

    do you expect us to write down the links for us to watch, how come unaweka links then cant be coopied. HELP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...