Home
Unlabelled
mpiganaji danford mpumilwa achukua fomu njombe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa wanaochukua fomu ndani ya ccm nao wafunguliwe kitengo chao. kwanza wapiga kura hawasomi blogu.
ReplyDeleteHongera sana mpambanaji, Malafyale Danford.
ReplyDeleteWangekuwa mamluki wanaruhusiwa ningekuja kukupigia kura hukohuko Njombe
Ha ha ha !!
Huyu ni mmoja wa watu wanaonifanya nione umuhimu wakumpigia mtu kura kutokana na utendaji wake na sio chama. Ingawa CCM imetuangusha saaaana for years.Watu kama Mpumilwa wamesimama strong kuleta maendeleo kwahiyo tusiache kuwapa kwavile wanavaa kijani na njano tuwapime kwa utendaji wao. Asanteni.
ReplyDeleteUncle Dan, wana-njombe tunakuunga mkono kwa sababu ya ya ufanisi wako kikizi na kimaisha na kuwa mtu wa watu. We anon wa kwanza, (3:10 pm) nani kasema wapiga kura hawasomi blogu. Wacha arrogance yako ya kijeuri, wewe humjui Mpumilwa na wala si mwana-njombe so shut up. Tuwache sisi wahusika tumpigie Mpumilwa kura kwa kuwa yeye ni 'mover and shaker and doer' na tangu 1990's amekuwa akifanya kazi kama ofisa mwandamizi UN kwa hivyo yeye si mhitaji...njombe ndiyo inamhitaji. J. Lwoga.
ReplyDeletemmmh haya endeleeni kutudanganya,na kuneemeka kwa pesa za walipakodi.huku mkisinzia na kushindwa kutuwakilisha
ReplyDeletevakuboma asandi!
ReplyDeleteWe anon wa 10:41 AM, uncle Mpumilwa hahitaji kuneemeka kwa kodi za wananchi kwa kuwa UN imekwishamneemesha. Usijitie kidomombele kwa usiyoyajua. J. Lwoga.
ReplyDelete