Assalaam Alaikum,
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO), unapenda kuwatangazia na kuwaalika nyote kwenye
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO), unapenda kuwatangazia na kuwaalika nyote kwenye
TAMCO Family Day
Jumamosi hii ya tarehe 10 July 2010
Jumamosi hii ya tarehe 10 July 2010
kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku
(4:00PM - 9:00PM).
Mahali ni :
Spencerville Local Park
15701 Good Hope Road
Silver Spring, MD 20905-4035
Near to the Muslim Community Center
Mahali ni :
Spencerville Local Park
15701 Good Hope Road
Silver Spring, MD 20905-4035
Near to the Muslim Community Center
(Karibu na Msikiti wa New Hampshire)
Uongozi unawasisitizia kuzingatia muda wa hafla hii.
Uongozi unawasisitizia kuzingatia muda wa hafla hii.
Tunawaomba nyote mzingatie mavazi yenye kulingana na maadili ya dini yetu.
Assalaam Alaikum.
Wenu
Uongozi
www.tamcousa.org
Assalaam Alaikum.
Wenu
Uongozi
www.tamcousa.org
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...