
Waheshimiwa Wadau Salaam,
Kwa heshima na taadhima URBAN PULSE CREATIVE Inawaomba na kuwasihi watanzania wote pale walipo kuwa wazalendo na kumpigia kura Mtanzania mwenzetu, Ndugu Yetu, rafiki Yetu, Msanii wetu mpendwa Diamond ambaye amebahatika kuwa miongoni mwa wasanii wachache waliochaguliwa kuwania Tuzo za MTV MAMA AFRICA Awards Zitakazo fanyika Nigeria Jijini Lagos Jumamosi hii 11.12.10
Hivyo Basi watanzania na wadau wote wa muziki mnaombwa sana kupiga kura ili Kumwenzesha Diamond ashinde tuzo hii muhimu iweze kuja Tanzania ili kuiwezesha Nchi yetu kujulikana zaidi ulimwenguni na pia kuleta HESHIMA kubwa kwa kila MTANZANIA.
Namna ya kupiga Kura ni kama ifuatavyo:
1. Kwa njia ya simu unaweza kupiga kura yako kwa kuandika neno BNA DIAMOND kisha tuma text kwenda namba 6262, kwa walio nje yaTanzani tuma text 15726.
2. Kutumia Mtandao tembelea tovuti hii http://www.mtvbase.com/splash/mama/
bonyeza mtv mama halafu ingia ndani
ya nominees tunaomba umpigie kura as the best New Act.
Tafadhari fanya sehemu yako pia mwambie na mwenzako.
Asanteni sana Mungu awabariki.
Diamond Platinumz
akishirikiana na
URBAN PULSE CREATIVE
Kwa heshima na taadhima URBAN PULSE CREATIVE Inawaomba na kuwasihi watanzania wote pale walipo kuwa wazalendo na kumpigia kura Mtanzania mwenzetu, Ndugu Yetu, rafiki Yetu, Msanii wetu mpendwa Diamond ambaye amebahatika kuwa miongoni mwa wasanii wachache waliochaguliwa kuwania Tuzo za MTV MAMA AFRICA Awards Zitakazo fanyika Nigeria Jijini Lagos Jumamosi hii 11.12.10
Hivyo Basi watanzania na wadau wote wa muziki mnaombwa sana kupiga kura ili Kumwenzesha Diamond ashinde tuzo hii muhimu iweze kuja Tanzania ili kuiwezesha Nchi yetu kujulikana zaidi ulimwenguni na pia kuleta HESHIMA kubwa kwa kila MTANZANIA.
Namna ya kupiga Kura ni kama ifuatavyo:
1. Kwa njia ya simu unaweza kupiga kura yako kwa kuandika neno BNA DIAMOND kisha tuma text kwenda namba 6262, kwa walio nje yaTanzani tuma text 15726.
2. Kutumia Mtandao tembelea tovuti hii http://www.mtvbase.com/splash/mama/
bonyeza mtv mama halafu ingia ndani
ya nominees tunaomba umpigie kura as the best New Act.
Tafadhari fanya sehemu yako pia mwambie na mwenzako.
Asanteni sana Mungu awabariki.
Diamond Platinumz
akishirikiana na
URBAN PULSE CREATIVE
changa la macho hilo ni sanamu ucan see the defference.karibu maddametsaud.
ReplyDeletehuyu britney anahisi kama diamond ataiba ile tuzo yake,kwa vile alipoiweka mbali
ReplyDeleteanonymous wa kwanza,
ReplyDeleteHata mie nilijua hilo ni sanamu tu. Duuh wabongo kiboko.
Hivi wewe Frank Iyembe wewe unafanya watu wapuuzi eeeh! Britney wapi si ni msanamu wa pale madametusor! Wacha kuipotosha jamii yote ya nini ni sifa au ushamba. Watanzania ndio maana tunadharaulika hivihivi.
ReplyDeleteacheni kudanganya watu hiyo ni madame tussauds london ni sanam la britney spears, wabongo tumezidi kudanganyana
ReplyDeleteYaani bado tunakasumba ya watu walio enda mamtoni au Ng'ambo au nje ni smart..waliobaki Bongo wote ni washamba..Ni lini tutastarabika..ni yule..aliyestarabika..aliye UK anayedanganya watu kwa sanamu na kujiona yeye zaidi kwa sababu amepanda Pipa..au aliye Bongo huku akiwa mafanikio, amani moyoni na kusoma Blog huku akila supu ya kichwa cha mbuzi au kahawa kwa maanjumati pembeni!!!!!!!
ReplyDeleteunaujua diamond asingeshika hiyo tuzo ndo ingekuwa kama kweli na sio sanam , lakini aliposhika tuzo ya britney kaharibu , inaonekana kama anamnyanganya, kama wanaigombania tuzo
ReplyDeleteAchen izo la muhimu ni kumpigia kula tu kuweni wazalendo
Deletehttp://www.madametussauds.com/London/OurFigures/PopMusic/BritneySpears/Default.aspx
ReplyDeleteJamani watanzania tunamatatizo gani? Hivi kunashidagni ya kuandaa CV/profile: Ukiingia kwenye nominees wa MTV utagundua jinsi gani kila mwaka tunashindwa kwa vitu vidogo vidogo. Kwenye profile ya Diamond hamna hata historia yake kama wenzake sijui nani aliyepeleka hiyo profile? Wasanii wote wamepeleka jinsi gani wamehustle kwenye game hadi kuja hapo MTV. Hivi ni nani kweli kwa maelezo haya anaweza kuwa interested na kumjuwa au kumpigia kura Diamond. Tuwe serious na kazi, au hata wewe mwenyewe Diamond ulivyotangazwa ulishindwa kuandaa CV yako umetoka wapi na hupo wapi ili hata kushawishi watu waweze kukupigia kula, kulikuwa na kazi gani kuingiza kuwa wewe ni ambassador wa malaria, umefanya shoo senegal na mtu mkubwa...Let us try to vote but we should count ourselves failure!!!
ReplyDeleteMwenzenu mie nilishaingia mkenge nikajua ni picha ya kweli, Isipokuwa nilikuwa najiuliza ni lini Diamond na Britney Spear walikuwa jukwaa moja? yaani ni katika sherehe za nini? Ahsanteni mlioosha macho kwa kunizindua, Ama kweli mjini shule,lakini sio poa hatuna sababu ya kumpandisha chati dogo kisakala namna hiyo. duh!kalagha bhaho na ujinga wako.
ReplyDeleteHahahahahah!!!kwanza wangeongea lugha gani?teh teh teh teh sanamu kabisa hiyo!!!dhuuuuuuuuuu
ReplyDeleteChanga lamacho lenyewe ni hili
ReplyDeletegonga hii link http://www.google.co.uk/images?hl=en&expIds=17259,24472,26428,27147,27213,27744,27868,27886&xhr=t&cp=31&wrapid=tljp1291898804200011&um=1&ie=UTF-8&source=univ&ei=vs8ATbKaFIjqObPW2aYB&sa=X&oi=image_result_group&ct=title&resnum=1&sqi=2&ved=0CC0QsAQwAA&q=britney%20spears%20Madame%20Tussauds%20pics&tbs=isch:1&biw=1245&bih=671
upuu mtupu huu.
It could be sanamu so tatizo ni nini? Kwani kukutana na britney ni tatizo? mbona kina kiba wanameiba na wanakutana na R kelly, nature kachana live na kina lil kim, I cnt seen any problem . Main issue ni kumpigia kura mtanzania mwenzetu. Tuache kuwa tunakuza vitu vidogo vidogo na kuacha ujumbe wa maana.
ReplyDeleteukiingia google na kuandika: ''madame tussauds britney spears wax figure'' hiyo sanamu ya Britney Spears inaibuka.
ReplyDeleteJijini London, maeneo ya Baker street, Marylebone Road London NW1 England, ndani ya Jumba la Madame Tussauds kuna sanamu kibao (wax figures) za watu 'maarufu kwa wazungu' kama Mandela, George Bush jr, Britney n.k
Hii ni mbaya sana Diamond, bora ungeleta hii picha siku ya April 1.
Mdau
Kariakoo
Mzizima.
tatizo huyu kijana wa mbagara kawa superstar kabla ya kuwa superstar. madoido mengi hadi ukiongea nae unamuonea huruma kwamba unamsumbua.
ReplyDeletejamani huyo si britney ni doli lake tu pale uingereza kuna sehemu ya hivyo unalipa pesa kidogo unapiga picha na macelebrity (madoli yao) yanatengenezwa na madame teusand.
ReplyDeleteoff topic: niliona kutakuwa na misa ya kuombea wafu niliona jina la Mine lakini sikujua kama ni mine yule kaka maarufu au nani.... naomba wadau mnisaidie nimeshtushwa sana.
Wewe Diamond ninataka kupigia kura lakini nimesikiliza clip yako hapa mara tatu kuhusu jinsi ya kupiga kura lakini sijakuelewa bado. Tafadhali anaandika hayo maelezo.
ReplyDeleteOK HUYU NI BRITNEY LAKINI LINI ALISHINDA MTV AWARD NA DIAMON ALIANZA KUIMBA LINI? NA ALIENDA STATE LINI? MAANA INASHANGAZA,LAKINI LEO HUMU NDANI AFADHALI WAMEMPAKA ALOLETA HABARI NA SIO DIAMOND KWA KUWA YEYE HAJAKUSUDIA HILO,ILA WAACHE USHAMBA WATU WAPO HUKU HUKU UK NA WANAYAJUA HAYO
ReplyDeleteHaya mimi nishakupigia kura, kila la heri.
ReplyDeleteOK SAWA NI MADAMTOSADE CHA MUHIMU KAWAOMBA KURA PLS TUMPIGIENI JAMANI LABDA WAMETUDANGANYA ILI WAPATE KULA ZETU SASA SISI TUWAPE HIZO KULA INGAWA TUMESHTUKIA SANAMU LAKINI SIKILIZENI VIDEO YA DIOMOND KATUOMBA JAMANI PLS TUMPIGIE KURA.
ReplyDelete