Mkurugenzi rasilimali watu wa Shirika la Ndege za Presicion Air Betha Minja akiwakabidhi msaada wa vyakula watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Chamanzi.

Mkuu wa mipango ya mitandao wa Precision Air Bw.Patrick Ndekana kulia akimkabidhi mfuko wa sukari mama mlezi Winfreda Rubanza wa kituo cha watoto yatima cha chamanzi wakati wafanyakazi hao walipofika kutoa misaada mbalimbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...