KWA MAJAALIWA YAKE MWENYEZI MUNGU MTUKUFU LEO ANKAL ANASHEREHEKEA SIKU YA HEPI BESDEI YA KUZALIWA KWAKE. 

ANAMSHUKURU MOLA KWA KUMJAALIA KUFIKISHA SIKU YA LEO SALAMA, NA ANAMUOMBA AMPUAFU YEYE NA FAMILIA YAKE PAMOJA NA WADAU WOTE MAISHA MEMA NA YA AFYA, NA KUMPA NGUVU KUENDELEA KUITUMIKIA JAMII KWA MOYO MMOJA BILA KUCHAGUA WALA KUIBAGUA KWANI ATAYEMZIKA HAMJUI. 

ANATOA SHUKRANI PIA KWA TIMU NZIMA YA GLOBU YA JAMII KWA KUENDLEZA UTUMISHI ULIOTUKUKA, WADAU KWA KUENDELEA KUMSAPOTI PAMOJA NA WAFADHILI WOTE AMBAO KWA PAMOJA ASINGEFIKA HAPA PADOGO ALIPO KWA URAHISI. MOLA NA AWABARIKI NA AWAZIDISHIE KILA PENYE MAPUNGUFU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. hongera ankal kwa cku ya kuzaliwa na mola akuzidishie umri ktk uhai wako ili uendelee kutujuza ya duniani kama mola alivyokujalia ktk hilo ishahlah mola awe nawe na akukinge na mabaye na akuongezee kheri ktk kazi zako hizo za kujitolea zaidi kwa kweri mimi binafsi nakukubali sana ktk kazi zako yani upo up 2date kwa kila tukio so big up kwa yot Uncle Richie mdau wako wa ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Hongera sana! Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele.

    ReplyDelete
  3. Umefikisha miaka sitini na ngapi vile?

    ReplyDelete
  4. Hongera Ankal kwa bethidei yako, lakini waogopa nini si useme tu umetimiza miaka mingapi!!

    ReplyDelete
  5. Hongera kaka na Mungu azidi kukupa nguvu na hekima

    ReplyDelete
  6. Happy birthday Ankal....

    http://tembeatz.blogspot.com/

    ReplyDelete
  7. hepi besdei ankali Mungu azidi kukupa nguvu na afya njema.

    ReplyDelete
  8. Happy Birthday ankal mwenyezi mungu akupe umri mrefu na akujalie kila la kheri na uzidi kutupa mambo mazuri katika libeneke hili hongera sana ankal, mdau mkubwa wa Oslo SSAJK.

    ReplyDelete
  9. Happy birthday and God bless
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  10. Hongera sana Muhiddin! Mola akujaalie kila la kheri na akuzidishie umri.

    ReplyDelete
  11. Happy Birthday Issa,

    May you live and be blessed with many more.

    Nitesh

    ReplyDelete
  12. Ankal its not fun anymore to celebrate birthdays! When I was young I used to be so excited celebrating my birthdays but as am getting older its not funny anymore! I look at my hair, I can see mixed color, when I look at my face I can see some contours crossing, my skin is not as lighter as it used to be, When I go to bed I used to triger at least three bullets continously, but now I can hardly triger one bullet! I used to walk at least five kilometers but now I can hardly walk two kilometers, I started complaining about back pain! LOL getting older is not funny anymore! If somebody asks me how old am I, I lie about my age, its not funny funny anymore! Happy Birthday anyway may God bless you and give you at least half of your years.
    Its me mdau wa Damu

    ReplyDelete
  13. Heri ya kuzaliwa kaka Michuzi. Mungu akuzidishie heri na baraka zote wewe na familia yako.

    ReplyDelete
  14. Happy birthday Ankal God bless you and grant you many more.

    ReplyDelete
  15. Kaka Michuzi,
    Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa!
    Maggid,
    Iringa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...