Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Kilimo na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe wakiangalia ndizi iliyolimwa kwa kuzingatia kanuni bora katika shamba la mfano lillopo katika viwanja vya maonesho ya kilimo eneo la Nzuguni nje kidogo ya mji wa Dodoma muda mfupi baada ya Rais kufungua rasmi maonesho ya kilimo leo jioni(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais kikwete afungua maonyesho ya Nanenane mjini Dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hizo ndizi mbona haziji huku ughaibuni? Zinaonekana bidhaa za Africa Magharibi na kweingineko, ila kiujumla bidhaa za Tanzania hazionekani kwenye ma-supermarket ya huku. Vipi, ubora bado?
ReplyDeleteHalafu hivyo viwanja vya nane nane Morogoro vumbi jingi sana...Mheshimiwa Rais weka lami ya kuingia humo viwanjani...au wekeni pavels, kuna shida gani Tanzania? Watu tunaenda kwenye maonyesho tukirudi ni kama vile tumetoka kugaagaa kwenye mavumbi!!...yaani inakera kama nini!! Sijui viwanja vya mikoa mingine vikoje!!
ReplyDeleteMadu unayeuliza ndizi za Bongo, ukweli ni kwamba nchi za magharibi ni waporaji tu. Ikiwa mnaruhusu bidhaa zenu kuporwa then watapora tu kiulaini. Mkigangamala kidogo, mtaweza kuweka makubaliano ya kibiashara, na hapo mtaweza na ninyi kuingiza bidhaa zenu mfano za kilimo kwao.
ReplyDelete