Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi katika viunga vya uwanja wa maonesho vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Wananchi walijipanga njiani na kusalimiana naye wakati yeye na Mama Salma Kikwete walipokuwa wakitembelea banda moja hadi lingine.  


 Unamuona...yuleeeee anapita!
 Na mimi badooo jamani....
 Sisi tunatoka Marekani... tunafurahi kusabahiana nawe
 Wow! The man himself...awesome...
 sikubali...
 Hamjambo,,,?
 Mambo,,,,!
Tumefurahi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2012

    Nimefurahi kuona watu wakiacha mambo Yao kwa muda na kujipanga kumsalimia kipenzi chao na rais wao wakiwa na furaha hongera rais hongera wananchi kwa upendo wenu kwa rais jk

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2012

    still we LOVE our president
    may god bless you MY president JAKAYA MRISHO KIKWETE

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2012

    Nimeipenda hiyo picha ya mtoto mama yake amemnyanyua juu na kumuonyesha unamuona yule , na mtoto amewekea makini kwa kumwangalia raisi wake, kwa upendo, anaonekana amevutiwa na kumwona Raisi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2012

    I think he is good man let us support him Please

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2012

    mimi ingawa sijui kiundani khs JK ila katika vitu vinavyonipendezesha kuhusu yeye ni hii hali yake ya simplicity. Namuona mara kwa mara sehemu tofauti za watanzania wa kawaida na hii on one way inawafanya wananchi wajihisi kuwa yupo karibu nao.Of course wengine wanaweza kuona kuwa ana makosa fulani fulani lakini mimi nachozungumzia hapa ni SIMPLICITY yake ambayo uongo mbaya ananikuna sana na ananifurahisha

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2012

    Safi sana.
    Big up Michuzi kwa kuweka Taarifa pia mh Raisi amependeza kwa kuwa karibu na wananchi wake.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2012

    Rais wa watu utamjua tu.Congratulation Mr President

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2012

    Genuine LOVE from people, Genuine ADMIRATION from mass, Genuine SMILE fro the President.

    Mapenzi halisi kutoka kwa watu wote, Tabasamu halisi kutoka kwa Rais wetu.

    Tunakupenda mheshimiwa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 08, 2012

    We love you Mr president...... Dah watu wanamkubali mheshimiwa rais.....

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2012

    Ahsante sana Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete!

    Tutamkumbuka kwa mengi sana, jamaa ni Muungwana sana.

    Mungu amzidishie Inshallah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...