Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kulifungua Soko la Samaki Mazizini
pwani,ikiwa ni mradi wa Tasaf alipokua katika ziara ya Wilaya ya
Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Tasaf
Unguja Shaaban Ali Abdulmalik,wakati alipofungua Soko la Samaki la
Mazizini Pwani, ikiwa ni mradi wa Tasaf kupitia Macemp,alkiwa katika
ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Rans CO LTD,inayoshuhukia ujenzi Nassor Salim
Said,alipotembelea Kilimo cha Mboga mboga kinacholimwa na kampuni hiyo
huko Kombeni Wilaya ya Magharibi alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa
Magharibi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...