Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kulingana na mtikisiko wa suala la Ajira nchini kwa sasa mambo kama haya yanaweza kutuokoa!

    Ankali Michuzi nyie ndio Wazito wenyewe huyu jamaa anastahili kufanyiwa mipango ya visa akafanye maonyesho yake Majuu pia ili avune zaidi kuliko Mia Tano, Mia Tano anazotunzwa kama hapo!

    Jamaa kama angefanya mambo haya ktk ziara zake huko Ujerumani, UK,Marekani,Canada,Denmark kwa Bibie mgeni wetu aliyeingia jana na Sweden na kwingineko nadhani angevuna DOLLARS na EURO kadhaa!

    Kweli anaweza!!!

    ReplyDelete
  2. Bila 'kulipuka' sio rahisi kufanya sanaa kama hii!

    ReplyDelete
  3. Ukiwa una tumia akili na kujituma kama Madau hapa, kamwe huwezi kuwa Muhalifu ama ukatafuta maisha kwa njia ya Uhalifu.

    ReplyDelete
  4. "Viongozi wa Bongo wabinafsi sana"

    Yaani hakuna hata mjumbe wa meza kuu aliyejitokeza kumpongeza kijana?

    Hapo tu inaonesha wala hata wazo la kumwezesha ili kipaji chake kisipotee hawana.

    Lainisheni nyoyo zenu acheni ubinafsi!!!!!

    ReplyDelete
  5. mdau hapo juu umenifurahisha sana unavyoshauri akafanye hilo jambo huko majuu kwa kiwango hicho alihonancho, yaani inabidi ajipange sana kufanya bike stant kwa sababu abroad watu wengi ndo kipato chao chatoka huko angalia hizi link uli unielewe vizuri na labda tumshauri jamaa aongeze mazoezi

    http://www.youtube.com/watch?v=KPTMds-6ziI

    http://www.youtube.com/watch?v=HFxv4is-6p8

    http://www.youtube.com/watch?v=fElCHp9wMtk

    jamaa inabidi ajipange au aoneshe huku huku kitaani kwetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...