Home
Unlabelled
Taarifa toka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TFF mnatubabaisha, wacheni Kiswahili na maneno ya uongo. Hela zote mnatangaza mmekusanya halafu mnasema hela zinapotea kwa "Free Pass". Acheni uwizi jamani. Hii ni kwa faida yetu wote. Kweli tunaitaji mapinduzi kwenye michezo, fisi wanalinda shamba la kuku!!! Khaa!!!.
ReplyDeleteFree Pass anapewa mtu ambaye anasadia michezo kwa namna fulani. Wadhamini, Waalimu, Wageni ambao kwa vyovyote vile wanasadia au wanaumaluum fulani. Na siyo urafiki au kuziuza pembeni.
Free pass ziko duniani pote, hata kwenye kombe la ulimwengu. Mie nimewahi kupewa hiyo pass kwenye kombe ulimwengu kwa vile nilikuwa ndiyo Kocha mwenyeji wa timu moja wapo katika mashindano hayo.
Mwenyewe pamoja nakusaidia Soka nyumbani ambako nina timu na wachezaji wengi niliowasaidia katika Voda Premier Ligi.(natakiwa nipate free pass) Lakini nalipa kwani ukianza kubishana na jamaa TFF unapoteza muda tu. Kila mtu pale anafikiria tumbo lake, na siwaoni watu wanofikiria kukuza mpira wetu. Mfano, kuwekeza, kukuuza na kuuza wachezaji,na tatu kuwa na mfumo ambao unasadia kukuza mchezo wetu kitaifa. Ni aibu sana. Na hata sasa angalia watu wanavyo lalamika kwenye habari ya uchaguzi. Yote haya yasingekuwa yanatokea kama tuna uongozi unaoeleweka. Serikali na TFF wanatakiwa kufanya kazi pamoja. Ni jukumu la viongozi wa TFF kuhakikisha hamna misuguano na serikali, kwani wenyewe wanatakiwa wazijue sheria za FIFA zaidi.