Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu
na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika
Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,( kulia) Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid
Yahaya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, (wa tatu
kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...