Wadau Kassian Ernest na Sabina Alexander wakifurahia baada ya kumeremeta katika Ibada ya misa takatifu ya ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Chang,ombe jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na mnuso wa nguvu iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini . Bwana Harusi ni mwajiriwa katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo na Bi Harusi ni mwajiriwa katika Chuo cha Elimu ya Biashara CBE.
Mdau Kassian Ernest akimvisha pete mai waifu wake Sabina Alexander
Maharusi katika mnuso
Pozi la nguvu la kumeremeta
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...