Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba mtu mmoja at ujio majina yao. Mimi nawatambua Nyerere, Kawawa, Byceson, Jamal, Sijaona, Kambona, Kahama
ReplyDeleteHivi hizo nguo walizovaa kina nyerere,kambona na kawawa mbona zilikuwa a very good design...!si zingekuwa tu kama vazi la taifa....?manake naona hao watu waliopewa hiyo kazi ya kutafuta vazi la taifa mpaka leo wana-mbwela mbwela tu...for sure i real like this design...,hebu waliangalie hili and make use of them...
ReplyDeletenafikiri vazi la taifa linaonekana hapo
ReplyDeletePicha swaano sana hiyo, nimejaribu kuona ktk hao aliye hai ni Lusinde tu au?
ReplyDeleteUwaziri Kipindi hicho kitambo:
ReplyDeleteKila Waziri kwa hiari yake anataja anachomiliki bila kushurutishwa!
Safi kwa vazi la taifa ila hizo shuka zinavaliwa na suruali ndani?
ReplyDeletevazi la taifa si kaniki kwani nani asiyejua historia hii mbona tunajibabaisha au tunalionea haya vyazi hili, vaeni tu kaniki kama enzi za zamani and be proud wa TANGANYIKA
ReplyDelete