Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na baraza lake la kwanza la mawaziri baada ya kuliapisha 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2013

    Naomba mtu mmoja at ujio majina yao. Mimi nawatambua Nyerere, Kawawa, Byceson, Jamal, Sijaona, Kambona, Kahama

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2013

    Hivi hizo nguo walizovaa kina nyerere,kambona na kawawa mbona zilikuwa a very good design...!si zingekuwa tu kama vazi la taifa....?manake naona hao watu waliopewa hiyo kazi ya kutafuta vazi la taifa mpaka leo wana-mbwela mbwela tu...for sure i real like this design...,hebu waliangalie hili and make use of them...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2013

    nafikiri vazi la taifa linaonekana hapo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2013

    Picha swaano sana hiyo, nimejaribu kuona ktk hao aliye hai ni Lusinde tu au?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2013

    Uwaziri Kipindi hicho kitambo:

    Kila Waziri kwa hiari yake anataja anachomiliki bila kushurutishwa!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2013

    Safi kwa vazi la taifa ila hizo shuka zinavaliwa na suruali ndani?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2013

    vazi la taifa si kaniki kwani nani asiyejua historia hii mbona tunajibabaisha au tunalionea haya vyazi hili, vaeni tu kaniki kama enzi za zamani and be proud wa TANGANYIKA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...