Hebu imagine vyijana wa
leo tulivo na mambo mengi na maisha yanasonga bila wasiwasi. Hapo unaamka
ofisini unawasha computer una-sign face book,twitter, skype, kote unacheck
posts za marafiki na kuchat nao.
Unafungua email
yahoo,hotmail,gmail na outlook zote kuna email za marafiki na za ofisin. Una
simu tatu tigo,voda na airteil na moja ina whats up nyingine blackberry kwa
ajili ya nini cjui ile mnaita, MBB sijui, tena unapokea na kupiga simu kwa ndugu na jamaa
na pia unatuma texts.
Hapo unafanya kazi wewe ni ofisa kwenye organization/private or
public. Unasoma MBA/MSc/MPA evening unajiandaa na test, kuna assignment mlipewa
last week na baadae ukitoka kazini inabid uende lecture, mkitoka lecture kuna
discussion. Wewe huyo huyo ni mke/mme na una watoto wawil wadogo. Isitoshe bado
hujaacha dating unagirlfriend/boyfriend nje ya nyumba. Umepanga, na una majukumu ya kulipa kodi ya nyumba (yako nay
a nyumba ndogo), una gari linahitaji service na bado mkopo uliokopa bank na
saccos kulipa hujamaliza.
Una site kigambon umeanza
ujenzi. Una tabia ya kwenda beach weekend na familia yako na unahudhuria vikao
vya harus na sherehe zake. Tena ni mnachama cha vijana na wewe ni katibu. Hapo
kazini we pia mwanachama wa saccos na mna jumuia ya kabila lenu DSM pia umo.
Kwa wazee unasaidia kulipa
ada ya wadogo zako na bado huwa unaenda bar na marafik zako kupata kilaji.
HAYA MAMBO YOTE VIJANA WA
ZAMANI WALIKUA HAWANA. MI NAFIKIRI VIJANA WA SASA NDIO WANA AKILI ZAIDI.
Mdau
I am impressed,but let us simplify a bit. vijana wa zamani walikuwa hawana (skype tweeter and facebook)so they had no akili.Booo.
ReplyDeleteNdugu maisha yanabadilika kila siku,usidanganyike na ulichonacho leo, kwani kesho hicho kitakuwa past tense.Kisha kumbuka,ni kiarabu na sintatafsiri kwani mswahili yeyote ataelewa maana, usipende sana alhayati ldunia,wal akherat khayrun wa abka.
wewe huna kazi ya kufanya sema unataka watu wafuatishe unachokifikiria wewe,
ReplyDeletehamna tofuti, ishi kama unavyoishi...
Texas
Maelezo meengi halafu conclusion hamna kitu kabisa yaani pumba!! Nitakusaidia kuwaza!maendeleo hasa ya sayansi na teknologia ni kitu kisicho zuilika.issue ni kizazi kipi kimekutana na maendeleo yapi?Sasa cha kujadili ingekuwa Sayansi na teknologia ilipofikia sasa na kizazi hiki kinavyo itumia (yaani kukesha kwenye fb, twitter na account za picha chafu nk kama ulivyoongea hapo juu) na kizazi cha vijana wa zamani wangebahatika kukutana na sayansi na teknologia ya sasa ni yupi angeitumia ipasavyo! Mfano mdogo-kwa sasa denti anaweza kudownload kitabu kizima kwenye internet, wenzao kitabu kimoja wilaya nzima yaani kwa zamu maana hata fotokopi mashine zilikuwa hakuna!!
ReplyDeleteTeknologia hii ingewakuta akina Kawawa na akina Nyerere enzi zao! Aaah mbona bongo tungekuwa tushatoa akina isaack Newton wengi tu.Sasa vijana wa sasa kazi maofisini hazifanyiki ni kuchat na fb kwa kwenda mbele na kuweka appointment za vikao vya lager!! Halafu mengine mbona ni majukumu ya kawaida tu ulitaka ukae nyumba ya mtu bila kulipa kodi!!! iiiisssh!!.
ReplyDeleteNyie vijana wasasa kazi kuvaa mlegezo na midume mizima inasuka nywele na kwenda kwenye pedicure na manicure, hamna nyimbo nyie.
ReplyDeletevijana wa siku hizi mna vijidududu tu miaka yetu kulikuwa hakuna
ReplyDeletevijana wa sasa wanaboa tu. me penda kitu old school
ReplyDeleteSipingi maendeleo ya kimtandao bali ninachoona mimi Bora kuwa mtumwa wa mwili kuliko kuwa mtumwa wa akili, vijana wa leo ni wachache wanaojitambua, waliobaki na walio katika asilimia kubwa wanawaza kutoka kimaisha kwa njia za "short cut" kutumia vyeti vya uwongo(Forgery), muda mwingi kutumia kwenye mitandao ya jamii na hakuna la maana wanalofanya, wangine wanaigiliza maisha ya watu wenye nazo wakati nyumbani ugali matembere kilasiku. Mie naona wa zamani walikuwa wabunifu na wenye kuenzi utamaduni wenye maadili kwenye jamii sio leo watu wanatembea uchi barabarani wakijiona wamevaa nguo,kukidharau kiswahili na kuona kingereza ndo ujanja na mengine kibao. Huo ndio utumwa wa akili.
ReplyDeleteHizo zoooote ulizotaja ni STRESS ZA KIMAISHA!
ReplyDelete-Social media
.internet
.facebook
.twitter
.Skype
.whats up
.linkedin
.MBBM
.Masomo hadi MBA,na Msc WAKATI HATA KUIANDIKA BARUA YA KUOMBA KAZI HUWEZI,AU HATA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA HUWEZI , HATA KUONGOZA KIKAO CHA KIFAMILIA AU CHA HARUSI KAMA KATIBU HUNA UWEZO HUO.
Hivyo vitu vyote vya juu watu wa Jumuiya za Meditation ama Buddhist huwa wanashauri watu wengine kuepukana na kukithiri kwa vitu hivyo kwa kuwa madhara yake vizalisha stress ama msongo wa mawazo na kuua uwezo wa ubunifu na kufikiri, yaani INTELLECTUAL CURIOSITY, CRITICAL THINKING, INNIVAVIE THINKING AND CREATIVITY.
Jaribuni kufanya experiment ACHANA NA MAKORO KORO HAOY KWA MASAA KADHAA KAMA 6 AU ZAIDI, siku moja JUST TRY TO BE SILENT AND DRAW DEEP THINKING somewhere alone you will see the difference after the practice you will fee FREE MINDED AND PICE OF MIND!!!
Vijana wa sasa mnazeeka haraka kwa majukumu na msongo wa mawazo!
HEBU ANGALIA SIMU TATU, FACE BOOK INTERNET TWITTER, ULEVI KUPINDUKIA ,NYUMBA NDOGO, MAGARI YA MIKOPO NA HUKU UNASOMA NA UKIWA NA FAMILIA!
Vijana wa zamani hawakuwa na ubwege wala matatizo hayo hapo juu na pia mambo mengi makubwa wamefanya!
Vijana wa sasa mna invest sana kwenye muonekano lakini kiuhalisia mmechoka, hebu angalia mtu unaishi kwa MIKOPO huku una utitiri wa majukumu NA MAISHA BINAFSI TETE YA KUJITAKIA?
NDIO MAANA KAMA NILIVYOSEMA MKIWA KTK VIKAO HAMNA POINT ZA MAANA ZA KU PRESENT ,HUKU MASOMO YENYEWE MNAFELI SANA NI VILE UBONGO WENU UMECHOKA KWA MATATIZO.
Vijana wa sasa KWISHNEHI!!!
Mimi naona aina game imebadilika kutokana na muda lakin rules za kufanikiwa kimaisha ziko pale pale...namabadiliko ya technology hayaepukiki hata sisi vijana wa leo tukija kuwa washua miaka 30 ijayo watoto wetu watatuona tumepitwa na wakati unless we tried hard to cope nao
ReplyDeleteMY ADVICE KWENU;WE ARE NOT HERE TO MATCH OURSELVES AGAINST THEM BUT WE ARE HERE TO FIGHT THE FIGHTERS OF OUR ERA NOT THEIRS....best rule of boxing pound for pound,blow for blow!
Wala sio Ujanja!
ReplyDeleteUna maisha ya mwonekano tu, umechoka na una shida nyingi tu.
Wewe tayari una maisha 'Mabovu' kwa maelezo hayo tu, bado una date?
Ktk ulivyovitaja Ubwege wa Vijana wa Kisasa hapo zaidi ni:
.Nyumba ndogo huku tayari umesha zaa watoto wawili bado una date nini tena?
.Mikopo isoyo na malengo, wewe unajenga bado nyumba haijaisha umerukia kukopa gari!, afahdali ungekopa Bajaj yaani usafiri unaoingiza fedha unakopa mzigo usafiri unaoingiza madeni na gharama za juu za maisha,,,hatukakati miliki gari kwa malengo na sio kwa ujiko na sifa zisizo na msingi.
Sasa wewe Kijana wa kisasa kwa majanga hayo ya kimaisha unajiona Mjanja?
Matokeo yake licha ya kuwa na umri mdogo unaweza kujikuta ukapata STRESS ukafa haraka kwa msongo wa mawazo AMA UKIMWI KWA NGONO ZEMBE ZA KUDENELA KU DATE , huku na majukumu yasiyona lazima kwako ktk umri wako mdogo huku ukiwaachia ndugu na jamaa mzigo wa malezi ya watoto YATIMA.
Vijana wa sasa ''HAMNA AKILI'' !!!
ReplyDeleteTofauti na Sentensi ya mwisho inavyomalizia ''VIJANA WA SASA NDIO WANA AKILI ZAIDI''
Mdau
VIJANA WA SASA NDIO MIBBWEGE MTOZENI KAMA ANAVYOCHAMBUA MDAU WA 9 HAPO JUU.
UMILIKI WA GARI LA MKOPO SIO MAENDELEO BALI NI MZIGO NA MWELEKEO WA KWENYE UMASIKINI IKIZINGATIA GARI HALIINGIZI BALI LINATUMIA NA KUKUGHARIMU.
Maradhi mengine Mabaya mliyo nayo Vijana wa sasa ni tabia hizi mbaya hapachini:
1.MNAPENDA SANA ULINGANISHI:
Mnapenda sana kulinganisha watu kwa hali za maisha, eleweni kila mtu na maisha yake, na kamwe hatuwezi kufanana.
Kama huyo Mdau mwenyewe aliyetoa hiyo Makala anayo kasumba hiyo, wewe utalinganisha Kijana wa zamani aliyekuwa anaishi maisha ya CASH na wewe unayeishi kwa MIKOPO?
WEWE KIJANA WA SASA NDIO BWEGE MTOZENI NA MASIKINI.
2.MNATABIA MBAYA YA DHARAU:
Mna katabia ka kudharau watu kwa kuangalia mwonekano na mnahshimu watu maarufu na wenye fedha.
Hataau ikitokea mkimuona mtu aliyekuwa Simple asiyeonekana kama anazo mnamdharau na mkija gundua anazo ndio mnatoa heshima...hiyo kitu ni KAVU SANA!
3.MNA TABIA YA KUCHUKIA WATU WALIO WAZIDI KIMAISHA:
Wewe unamdharau mtu, lakini ukija gundua amekuzidi kimaisha unamchukia, unamhujumu na kumpangia mipango mibaya!
4.VIJANA WA SASA NI WAVIVU NA MNAPENDA MAISHA YA JUU KWA NJIA ZA MKATO:
Wengi Wasichana wanaambukizwa VIRUSI na Wavulana wanafikia kulawitiwa ili kununuliwa magari na Mabosi wachafu, mnakubali. TAMAA ILIMPELEKA FISI PABAYA.
KAMA BWEGE MTOA MAKALA ANAVYOJISIFU ANAKUWA NA WATOTO WAWILI LAKINI BADO ANATONGOZANA NA KUHANGAIKA NA NGONO ZEMBE BADALA YA KULEA WATOTO ALIO KWISHA WAPATA.
5.WENGINE MNAFIKIA KUTUMIA HADI USHIRIKINA ILI KUPATA MAFANIKIO BADALA YA JUHUDI NA AKILI ZAIDI:
Mnapenda vya rahisi hadi mna inia kwenye Uchawi.
VIJANA WA SASA NAMALIZIA NI MIBWEGE MTOZENI MNA UJANJA WA KIFALA TU WALA HAMNA AKILI !!!
VIJANA WA SASA KWA MTAZAMO WA KIBANGE BANGE NDIO UTAONA WANA AKILI LAKINI KWA MTAZAMO WA MAKINI UTAONA KATI YA VIJANA 10 NI 1 KWA 10 NDIO ANA AKILI WENGINE 9 VILAZA NASEMA HIVYO KWA SABABU HIZI HAPA:
ReplyDelete1.KAMA MDAU ANAVYOJINADI YEYE MWENYEWE AKIWA KIJANA WA SASA, HEBU ANGALIA UCHACHE WA AKILI, WEWE UNAJENGA NYUMBA HAIJAISHA UMERUKIA MKOPO WA GARI!
2.HUKU UKIWA UMEKOPA GARI NA UKIWA UNAJENGA, UMESHA ZAA BILA MPANGO WATOTO WAWILI HUKU UKIWA HAUPO MAKINI KTK MAAMUZI YAKO JUU YA HATMA YA BAADAE YA WATOTO WAKO UKIWA UNAFANYA MAAMUZI YA KIBWEGE KAMA UNAYOYAFANYA HAPO!
3.HUKU UKIWA HUJAMALIZA UJENZI WA NYUMBA WAKATI UKIWA UMESHA KOPA GARI, NA UZAZI WATOTO 2 BILA MPANGO BADO UNGALI UNA NYUMBA DOGO MAPENZI YA NJE!
Sasa hebu tazama Hesabu hii chini:
Mkopo wa gari+Ujenzi usio kamilika+watoto 2 uzazi bila mpango+nyumba ndogo+simu 3+mitandao ja jamii, internet, fb,twitter,BMM.linkedin+vikao vya harusi+ulevi+uvutaji,,,,
HIVI KWA MAJUMUISHO HAYO HAPO JUU BINAADAMU MWENYE MZIGO HUO ATAKUWA BADO ANATAKA AITWE ANA AKILI ZAIDI?
Kijana wa kisasa,
ReplyDelete1.Unafikiri gari ya mkopo ni akili?
2.Unafikiri nyumba ndogo ni akili?
3.Unafikiri kutojali ujenzi wa nyumba ni akili?
KWA MASWALI HAYO MATATU (3) HUKU UKIWA TAYARI UNA WATOTO WA 2 USIWAWEKEE HATMA YA BAADAE KWA MAAMUZI MABOVU HAYO UNAYOYAFANYA SASA, KIJANA WA KISASA HUNA AKILI!
Siku njema kwenu wote! Maduka ya kutoa mkopo.
ReplyDeleteUmekuwa kuangalia kwa ajili ya mkopo au una
kuomba mkopo kwa ajili ya mahali pengine na wao
kuwa na kushindwa wewe? Au je, unahitaji mkopo
kuanzisha biashara, kupata ubinafsi wako nje ya
madeni na umekuwa kutafuta kwa wakopeshaji legit na kuaminika mkopo kwamba nitakupa mkopo kwa
muda mfupi bila kuchelewa @ chini ya kiwango cha
riba ya 3% ?? Hakuna kuangalia zaidi, kwa sababu sisi
ni hapa kufanya moyo wako hamu ya kuja kwa njia
ya, wasiliana nasi leo saa
(lukasmatovickreditoffer@gmail.com) sisi kuwahakikishia kutumikia wewe bora zaidi kuliko
mtu yeyote anaweza kufanya kwa ajili yenu kwa
neema ya Mungu! Hello, Je, unahitaji mkopo wa kulipa
bili au startyour mwenyewe biashara, unaweza
kuomba mkopo sasa na kuwasiliana nasi kupitia E-
mail: lukasmatovickreditoffer@gmail.comLOAN APPLICATIONName: Kiasi cha: anwani: Simu: Umri:
kazi: Nchi mkopo inahitajika: Muda wa mkopo:
Madhumuni ya mkopo: Mheshimiwa Lukas Matovic
Attn:
ReplyDeleteUsikose nje kutoka kutoa yetu mega kama wewe ni katika haja ya mkopo au kama wewe
wasiwasi juu ya madeni yako na kuwa na historia mbaya ya mikopo, tuna
vifaa katika nafasi ya kukusaidia kurejesha udhibiti wa fedha yako.
Huduma zetu ni pamoja na:
- Business mikopo kwa ajili ya kuanza-up na refinancing biashara zilizopo
- Binafsi mkopo hadi $ 500,000
- Home mkopo
- Muda mfupi mkopo
- Mkopo wa gari na mikopo kwa ajili ya madhumuni yoyote worthwhile.
Pamoja na mchakato wetu masaa 24 ya uamuzi huo, tunaweza kufadhili kwa ajili yenu ndani ya 2 hadi 3
biashara siku moja kwa moja kwenye akaunti yako ya benki. Sisi kufikiria ni
radhi kufanya biashara na wewe.
Alitaka kuokoka? sisi kutoa kwa kukodisha taratibu zetu
wanatakiwa kupata mkopo mapema. Tuna mtandao unaweza kujiinua
juu ya!
Reply nyuma kama una nia ya lindomartinez67@gmail.com
Regards,
Global Finance Services
hello,
ReplyDeleteMimi nina Mr Maurice kuthibitishwa, reputable, halali & vibali fedha Taasisi. Mimi mkopo fedha nje kwa watu wanaohitaji msaada wa kifedha. Je, una mikopo mbaya au wewe ni katika haja ya fedha ya kulipa madeni? Nataka kutumia kati ya kuwajulisha kuwa sisi kutoa kuaminika msaada walengwa kama sisi itakuwa njema kwa kutoa mkopo. Huduma zinazotolewa. Wasiliana na email: mauricefinance@hotmail.com
ni pamoja na:
refinance
Home Loan
mikopo
Home Improvement
mwanafunzi mkopo
mvumbuzi Loan
mkopo wa gari
Hard fedha mkopo
madeni Consolidation
Mstari wa mikopo
Business Loan
mkopo binafsi
Mikopo ya kimataifa
Kuwasiliana nasi leo na kuruhusu sisi kukusaidia nje ya fedha hardship.Send sisi e-mail na ombi kwa maombi ya mkopo kujaza-up. no
usalama ya kijamii required na hakuna hundi mikopo inahitajika. Kupokea fedha katika chini ya masaa 24. 100% idhini uhakika.
Wasiliana na email: mauricefinance@hotmail.com
Regards,
Mr Maurice.
Je, wewe ni kifedha huzuni na wewe ni kuangalia kwa jinsi ya kupata mkopo? Je, unahitaji msaada wa kifedha kwa kuanza au kupanua biashara yako? umekuwa kuangalia kwa jinsi ya kupata ufikiaji wa Taasisi binafsi? wasiwasi tena kwa hili ni kampuni binafsi ambayo inatoa mkopo nafuu kwa kiwango 3%. mikopo Huduma zetu ni haraka na za kuaminika. uhamisho yetu ni uhakika na mafanikio ni uhakika. Kila aina ya mikopo zinazotolewa hapa. Ziara yetu kwa habari zaidi juu (bankofamericaloan36@gmail.com)
ReplyDelete