Wadau wa Sauzi wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii wa kizazi kipya aliyefariki majuzi marehemu  Albert  Mangwear jioni hii huko  Johannesburg, Afrika Kusini. Ratiba zinaonesha mwili huo utawasili kesho jijini Dar es salaam. Muda na ratiba kamili zitafuata punde. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2013

    ina maana ulipotea?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2013

    Mdau wa Kwanza sio ulipotea!

    Kalaga baho Sauzi ni Msitu wa Pande kule, si mchezo mwili wa marehemu unaweza kutumiwa kubebea 'mavumbi' na Mataita unakuta miili inafichwa kwa kazi hizo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2013

    Kinje nae!! anafanya nini huko? mchango katoa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...