Bei ni shilingi milioni 260
Ipo Mtoni Kijichi Beach jijini Dar es salaam.
Ina hati na inalipiwa ardhi.
 nyuma ya hii nyumba pana kiwanja kingine kinachoweza toa nyumba nyingne.

Kwa mawasiliano piga 0654643838

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2013

    That is so cheap! Hupati hasara?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2013

    safi sana watanzania nimeamini sasa maendeleo yanakuja kwa kasi kubwa mjengo mzuri na mkubwa kama huo kwa bei ya kutupa milioni 260 tu

    je naweza kuinunua kwa milioni 255? nipunguzie milioni 5

    wadau wengine msishangae kuitaka hii nyumba msifikiri watu wote ni walalahoi na wengine
    wenzenu tunaopiga kazi serikalini wizarani tunayo mihela ya kununua tunachokitaka

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2013

    I thought was for 26m, wow , this is roughly 160, 000 USD, with this amount of cash I can buy a brand new house in most states in the USA, this is an example of price exaggeration taking place in Tanzania, a poor country with most people can't even afford their daily meals, where does and who has this kind of cash sitting on their ass, with the combination of poor infrastructure, lack of steady utilities, lack of safety (majambazi nje nje), diseases and alike, it does click into my very senses for someone to ask this amount of cash for this dilapidated unit

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...