Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Timu ya Michuzi Bogu Spot Inshallah Mwnyezi awalipe kwa kazi yenu kubwa saana!
ReplyDeleteTunaomba Al Ustaadhi Ankal Michuzi tuwekee na Quran za kusikiliza humu jamvini kama ulivyofanya mwaka jana.
Amiiin Ramadan Kareem!
ReplyDeleteAnkali ni wakati muafaka wa kikitoa Kibandiko chako ile Kofia yako nzuri ya Bargashia unayovaa kwenye Mfungo.
Ni vema ukachukua na nafasi ya kuwa Mwadhini huku ukiwa umevaa Kofia yako hapo Misikiti wa Jirani na nyumbani kwako.
Sasa unafikiri Ankali Thawabu za Mwenyezi kTK Mfungo wa Ramadhan zinapatikana bila kuzitumikia?
Mdau wa Pili umetoa Mchango mzuri!
ReplyDeleteTena akishakitoa Kibandiko chake sandukuni alichokiweka kutokea Ramadhani ya mwaka jana nafasi ya kuwa Mwadhini pia ni muhimu kwa Ankali.
Ni kuwa hata kama atasafiri kwenda Majuu kikazi ndani ya kipindi hiki cha Mfungo HAKUNA WA KUKAIMU NAFASI YA UWADHINI YA ANKALI HAPO MASJID,
KAMA UTASAFIRI YATAFANYIKA HAYA:
1.TUTAKUREKODI ANKALI KWENYE TEPU AU CD IKIFIKA MUDA WA ADHANA TUNACHOMEKA CD ADHANA ORIGINAL YA ANKALI INASOMWA KWA NJIA YA CD.
2.KAMA UTATUMIA UFUNDI WAKO WA LIBENEKE TUNAKURUHUSU UTOE ADHANA KUPITIA BLOGU SPOTI YA JAMII YA MICHUZI DIRECT KUTOKEA HUKO UTAKAKOKUWA DUNIANI, ISIPOKUWA UNATAKIWA UENDE NA MUDA WA TANZANIA NA VIPINDI VYETU VYA SWALA.
Kazi kwako Mwadhini Ankali Michuzi!