Meneja Kiongozi Uhusiano na
Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice
Chiume, akitoa ufafanuzi wa huduma za NSSF wakati wa Maonesha ya Sabasaba.
Issac Peter, akitoa maelezo ya huduma za bima katika banda la NSSF.
Mshiriki wa Maonesha ya 37 ya Biashara ya Kimataifa akipata maelezo kutoka kwa Mhasibu Mwandamizi wa NSSF, Madhehebi Tuli (kulia).
Ofisa Uhusiano Mwandamizi NSSF, Theopista Muheta akiwapa madaftari baada ya kujibu maswali kwa ufasaha yanayohusiana na huduma za NSSF.
Mmoja wa wanachama wa Saccos zilizopata mkopo kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Shapilly Abdallah (kulia) akimuhudumia mteja katika banda la NSSF.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...