Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2013

    Good JOb!ONE OF THE BEST VIDEO QUALITY.big up ISSA MICHUZI-

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2013

    nilivyofurahi machozi tu yananitoka kwa furaha kubwa niliyonayo asante michuzi kwa kutuonyesha hii kitu tulitamani kuona na tumeona.yote cnn bbc wametubania wanatuonyesha vipande vya afrika kusini tu mda wote.nilivyo iyona hii nimefurahi sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2013

    JFK.."Two thousand years ago the proudest boast was,'civis romanus sum' (I am a Roman citizen)"
    I can hear what the Tanzanians are saying today.
    Ibrahim

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2013



    Ohhh my God help us Tanzanians tunacho shangilia nadhani hatukijui zaidi yakwamba ni Celebrity kaingia mjini sasa subiri 3 days fater hapo tuna anza kulia njaa hatuna hela ya kula

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2013

    Jamani hadi raha kwakweli, am so proud of my country, GOD bless Tanzania, nchi yenye amani na upendo, na hao wanaotaka kutuharibia na hayo mabomu huko arusha washindwa IN JESUS NAME AMEN

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2013

    Watu Smart(wenye nyeupe), wanacheza Ipenenga, watu weeeweee!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 02, 2013

    Hivi ni siku moja au? kaja jana mchana kaóndoka leo mchana ni siku moja ambayo ni sawa na 24 hours! basil walisema amekaa siku mbili. Sijaelewa hiyo counting!

    ReplyDelete
  8. yaani wazungu tumewakosa nini hata habari zetu zinatajwa ati Obama akiwa tanzania amezungumzia masuala ya Moto carlifornia au Masuala ya Snowden lakin sio Obama amefanya ziara Tanzania,
    Tokea jana nahangaika na Rimoti vidole vyote vinauma kwa kutafuta habari ya Tanzania nikapata moyo Aljazira kutangaza obama amepokewa kwa shangwe kuoneshwa habari duuh ATI kutoka nairobi na watu wanalalamika,

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 02, 2013

    What a 13-minutes presentation! Big up Michuzi. Covered all aspects, in my view.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 02, 2013

    Samahani kwenye comment yangu ya awali nimesema watu Smart wanacheza Ipenenga, nimekosea, bali ngoma inaitwa Ing'oma. Kumradhi wana Libeneke.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 02, 2013

    Issa Michuzi Your are The Best, thanks for the best clip.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 02, 2013

    Mdau wa pili umechukua kauli toka kinyani kwangu,you are absolutely right, bbc, cnn, sky wote wameichuna tu, bbc jana walionyesha kakipande kadogo to ka news na hata hawakusema Obama yupo nchi gani. Queen Elizabeth II once asked her advisors why the photpgraphers are not taking any photos as she ariived in one ceremony, she was told that the photographers have been warned not to bother you today, she replied " I am not sure what is worse, being bothered or being IGNORED.
    The western media have ignored Obama`s trip to Bongo land, I wonder if our Ambassadors in Europe have picked this up, but it is up to us (Tanzanians) to market our beautiful country.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 02, 2013

    nimeipenda hii, inaonyesha kuwa wabongo hawawababaikii, hawajipendekezi na wala kujikomba kwa hawa jamaa, tofauti na majirani hasa hao tunaogombania hilo bwawa hapo kusini. (nafikiri mmewajua) Nimeliona hilo huku ughaibuni. Hata hivyo ndugu zangu msijali kwani inaonyesha hatuko ktk utumwa wa kiakili ambao ni hatari sana.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 02, 2013

    Did you guys see who got handshake first? Call me a conspiracy machine but Obama shake American Ambassador first then his wife and Mwisho Mr. President JK.

    American people it's all about American.

    USA

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 02, 2013

    haya hayaaa...mliomkandia ankal kuwa anatumia picha za screen toka TBC ati kwa kuwa hakualikwa mnalo la kusema??
    Hao TBC wenyewe hawana short and crisp and professionally shot video kama hii. acheni kupenda kuponda kila kitu kwa sababu ya inda. huyo ndio ankal babu...achana nae. ankal endeleza libeneke na uwe alpha na omega wa libeneke nchini. hakuna wa kukugusa...

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 02, 2013

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.....SI MCHEZO
    without doubt Tanzanian's are good at cereblations. Mapokezi yalikuwa mazuri. Hivi ndivyo anavyokaribishwa mgeni alaah.....NIMEPENDA

    Mgeni njoo mwenyeji apone, I am sure there some people had to take day off job. On looking the other side of the coin...well mmhhh

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 02, 2013

    The best videa clip so far!!!! The best president visit of all time!! Hiiii nifunga mwaka aiseee yaani imependeza nyuso za furaha, Obama anatamani abakie Tanzania maana stress free akirudi USA mambo mengi yana msubiria sana, Immigration reform, 19fire fighters dead, na Gay marriage inamsubiria pia~!!!!! HONGERENI SANA WATANZANIA MLIOPO TANZANIA KWA KUIPANDISHA BENDERA. MMEKIMBIZA HAKIKAAAAAA, RAHAAAA!

    ReplyDelete
  18. Baada ya Harusi Kulipa madeni! Baada ya machimbo ya samani, kufukia mahandaki kama tutaweza!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 02, 2013

    Ndo umuhimu wa kuwa na blogu kubwa ya jamii kama hii, hata kama CNNIntl, BBCWorld wakibania lakini nguvu ya Blogu ya Jamii itafikia wadau wote wa jumuia ya mitandao wakiwemo wa CNN, BBC n.k kwani ukiritimba wa vyombo hivyo umekwisha, tushukuru intaneti.

    Rais Obama kupokewa na Balozi wa Marekani Tz ni taratibu za kiitifaki/ kidiplomasia ambazo hufanyika katika ziara nyingi tu za Marais nje ila utandawazi ulikuwa bado haujafikia jamii yetu kuona ''live''.

    Ipo siku tutamwona Balozi Mh. Maharage akimpokea Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho ktk ziara zake za nje/ughaibuni. Naamini Blogu ya jamii itakuwepo kuonesha jambo hilo la taratibu za itifaki/diplomasia.

    Mdau
    Blogu ya Jamii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...