Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa wa moto "Hot Dog" wakati alipokua New York City akisubili boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani) Jumanne July 9, 2013,
Kutoka kushoto ni Ebra NY, Libe, Masanja na Shilole wakiangalia Statue of Liberty kwenye mto wa Hudson unaotenganisha New Jersey na New York.
Libe, Masanja na Shilole wakinyanyua mikono yao juu kwa mfano wa Statue of Liberty.
Ebra Vijimambo vya NY (kushoto) akiwa na wageni wake Libe, Shilole na Masanja wakati alipokua akiwadhurulisha New York City Jumanne July 9, 2013.
Masanja akipata picha nje ya mahali panapoumiwa kupandia boti kwa wasafili wanaoelekea kwenye astatue of Liberty.
Masanja akipata picha kwenye gari la Polisi wa New York.
Juu na chini ni Shilole na Masanja wakipiga picha na Polisi kikosi cha farasi Manhattan New York.
Shilole akipata picha na jamaa aliyejichora na baada ya picha hua analipwa $1.00.
Masanja, Shilole na Libe wakiwa na mwenyeji wao Ebra wakipata chakula kwenye mgahawa mmoja wapo Manhattan, New York.
Shilole akiongea na mtayarishaji wa Video ili amshutie Video ya wimbo wake mpya ambayo anatarajiwa kuifanyia New York City.
kutoka kushoto ni Ankal Miraji, Ebra, Shilole na Bagdela wakitafakali jambo maeneo ya Times Square.
'hot dog' mara nyingi zinatengenezwa kwa kiti moto...samaani lakini!
ReplyDeleteKuna beef hot dog.
ReplyDeletesiyo hot dog tu hata ma shoop wanayooshea manywele yao na vyakula kibao kama watoto wa kiislamu na huu ndo mwezi wa mfungo basi jamani hala hala dunia tupo safarini hatujafika kama mlivyokuja marekani basi mjue bado si mnakwenda bongo basi ndo dunia ilivyo
ReplyDeletena shilole je umefunga leo ramadhan au ndo maisha kujichanganya mwakwetu
Msimwachie Mwenyeji wenu MADENI kwani wabongo kwa 'kuharibu' hatujambo
ReplyDeleteAtafunga akirudi Bongo.Mwache ale junks kwanza! inshallah!
ReplyDeleteKobe la mchana.
ReplyDeleteAtajitwayarisha! Inshallah!
ReplyDeleteshilole ni mkiristo acheni jazba
ReplyDeletekufunga bongo; STATES wote wakristo
ReplyDeleteShilole ni muisilamu na jina lake kamili anaitwa Khadija Mohammed.
ReplyDelete