Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa wa moto "Hot Dog" wakati alipokua New York City akisubili boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani) Jumanne July 9, 2013,
Kutoka kushoto ni Ebra NY, Libe, Masanja na Shilole wakiangalia Statue of Liberty kwenye mto wa Hudson unaotenganisha New Jersey na New York.
Libe, Masanja na Shilole wakinyanyua mikono yao juu kwa mfano wa Statue of Liberty.
Ebra Vijimambo vya NY (kushoto) akiwa na wageni wake Libe, Shilole na Masanja wakati alipokua akiwadhurulisha New York City Jumanne July 9, 2013.
Masanja akipata picha nje ya mahali panapoumiwa kupandia boti kwa wasafili wanaoelekea kwenye astatue of Liberty.
Masanja akipata picha kwenye gari la Polisi wa New York.
Juu na chini ni Shilole na Masanja wakipiga picha na Polisi kikosi cha farasi Manhattan New York.
Shilole akipata picha na jamaa aliyejichora na baada ya picha hua analipwa $1.00.
Masanja, Shilole na Libe wakiwa na mwenyeji wao Ebra wakipata chakula kwenye mgahawa mmoja wapo Manhattan, New York.
Shilole akiongea na mtayarishaji wa Video ili amshutie Video ya wimbo wake mpya ambayo anatarajiwa kuifanyia New York City.
kutoka kushoto ni Ankal Miraji, Ebra, Shilole na Bagdela wakitafakali jambo maeneo ya Times Square.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2013

    'hot dog' mara nyingi zinatengenezwa kwa kiti moto...samaani lakini!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2013

    Kuna beef hot dog.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2013

    siyo hot dog tu hata ma shoop wanayooshea manywele yao na vyakula kibao kama watoto wa kiislamu na huu ndo mwezi wa mfungo basi jamani hala hala dunia tupo safarini hatujafika kama mlivyokuja marekani basi mjue bado si mnakwenda bongo basi ndo dunia ilivyo

    na shilole je umefunga leo ramadhan au ndo maisha kujichanganya mwakwetu

    ReplyDelete
  4. Msimwachie Mwenyeji wenu MADENI kwani wabongo kwa 'kuharibu' hatujambo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2013

    Atafunga akirudi Bongo.Mwache ale junks kwanza! inshallah!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2013

    Kobe la mchana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2013

    Atajitwayarisha! Inshallah!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 11, 2013

    shilole ni mkiristo acheni jazba

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 11, 2013

    kufunga bongo; STATES wote wakristo

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2013

    Shilole ni muisilamu na jina lake kamili anaitwa Khadija Mohammed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...