Mdau Ruger Kahwa ambaye in mkuu wa ofisi ya United Nations Office for the Coordination of Humanitarian Affairs nchini Papua New Guinea akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Papua New Guinea,Solomon Island and Vanuatu, Ambassador Walter North, wakati wa hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kusherekea siku ya uhuru wa Marekani.
Home
Unlabelled
Mdau Ruger Kahwa katika mnuso wa kuadhimisha miaka 237 ya uhuru wa Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...