Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2013

    It sounds like an option to be shoga or not.
    I hoe she has means to protect her interviewees from irrational people who thinks that they can 'prevent' children from being Mashoga.
    I will recommend Hoyce to research the topic before going ahead with interviews.
    I do not know her education but her interviews are very un professional.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2013

    Tatizo lililopo kwenye Suala la Ushoga ni kukingiwa kufua na Mataifa Makubwa Duniani kwa kigezo cha kutoa haki za binaadamu.

    Licha ya kuwa ktk nchi nyingi Barani Afrika Ushoga ni kosa la Jinai lakini Serikali nyingi na Jamii nyingi Afrika zinapingana na Uhsoga kwa siri ama kwa kufanya kama vile hawanazo habari kama mambo hayoyanajiri sehemu za nchi zao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2013

    Jambo la Kuwauliza Wana Harakati za Haki za Ubinaadamu na Haki za Mashoga ,hivi ni kwa nini UHSOGA UNAKUWEPO KWA VIUMBE WANAOITWA BONAADMAU LAKINI HATUONI USHOGA KWA VIMBE WENGINE KAMA WANAYAMA?

    Kama wangetoa ushahidi ya kuwa ni maumbile yanayokubalika nadhani tungeshuhudia hata kwa viumbe wengine kama wanyama tunaowafuga na kuishi nao wakiwa Mashofa kama mbwa, ng'ombe mbuzi na paka...KISAYANSI ITATHIBITISHA IKIWA WANYAMA PIA WATAKUWA MASHOGA KAMA KWELI USHOGA UNAKUBALIKA KWA NINI IWE NI BINAADAMU PEKE YAKE?

    Ni muhimu tupigane dhidi ya Ushoga, licha y kutumia vigezo vya Kiimani ni vema tuukatae pia kwa vigezo vya Kisayansi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2013

    Siungi ushoga lakini mtoa maoni ambaye amegusia wanyama ajafanya uchuguzi. Kuna wanyama wengi wanafanya vitendo vya ushoga.Idadi ya wanyama wanaofanya ushoga ni 1500 kama ulikuwa ujui.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tupe reliable source ya hizo takwimu zako kwamba idadi ya wanyama mashoga ni 1500

      Delete
  5. AnonymousJuly 12, 2013

    Ati fanya uchunguzi, you guys are brainwashed, waliofanya uchunguzi wa wanyama wenyewe ni mashoga,so what do you expect, have you ever seen a gay lion or hyena in serengeti, ngororongoro etc, wamyama mashoga ni wale wanawekwa kwenye zoo na wapo madume watupu basi wanageulana, kama wafungwa vile.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...