Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2013

    Nimeaangalia habari yote hapa. Mhusika ameeleza kuwa alianza kujiiingiza kwenye vitendo vya ushoga akiwa na miaka kumi. Kwa mtazamo wangu mhusika alikuwa ni mtoto na ninaona hyo mharabu aliyamtaja alikuwa akimubaka muhusika wakati akiwa mtoto. hivyo nadhani kwanza tuanze kufuata sheria kwamba wabakaji wa watoto waweze kupelekwa mahakamani na kuhukumiwa ipasavyo. Vile vile nimeshagaa kuona muhusika ana maambukizi ya ukimwi tiyari lakini bado yuko akiendelea na biashara. Wizara ya afya nadhani inaweza kuingilia kwenye jambo kama hilo, na sana sana public health. Inabidi tubadiri tabia pia hapo nyumbani

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2013

    Shoga ana kamba huyu,kama ni kweli muhimbili na bugando wali-suggest ukatibiwe India huo ushoga basi hatuna madaktari.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2013

    Mbona hakuna wanyama pori mashoga? kwanini wawepo binadamu mashoga?

    ReplyDelete
  4. ChakubangaJuly 11, 2013

    Ngugu mtangazaji hapa umechanganya mambo mawili, kwanza kuna tofauti kati ya ushoga (homosexual) na kuwa dumejike (transgender). Kwa mujibu wa maelezo yake huyu ni transsexual na sio shoga yaani ni mwanamke aliyezaliwa katika mwili wa mwanaume.

    Jambo la pili hapa umechanganya ushoga ( homosexuality) na umalaya (prostitution), hizo ni tabia mbili tofauti na si lazima viende pamoja. Kuna mashoga wanaendeleza maisha yao wakiwa katika mahusiano yakudumu (steady relationship).

    Sasa nafikiri wakati tunajadili hili suala ni vizuri tutenganishe na karma jamii nafikiri tatizo si ushoga bali ni umalaya, kwa bahati mbaya mhusika hapa hata ye ye mwenyewe amechanganyikiwa kwani hajijui ni nani

    ReplyDelete
  5. Iwekwe sheria ya kungonga wanaowaaribu watoto na kuwafanya wawe mashoga huko mbeleni.

    Mh! lakini Bunge hili la sasa Mh! sijui kama sheria itapita kwani kule wapo mashoga na waume zao.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2013

    Muandishi wa habari aliyeboboe ange- challenge na kuifafanua issue ya paedophilia na prostitution, and not to mention homosexuality, all these three are against the law in Bongoland.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2013

    July 11, 2013 - Anonymous said...
    "Mbona hakuna wanyama pori mashoga? kwanini wawepo binadamu mashoga?"

    Kuna mbwa, kuku, manyani, na wanyama wengine, ambao ni mashoga.


    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2013

    "Kuna mbwa,kuku,manyani na wanyama wengine,ambao ni mashoga".

    Labda ushoga uliwaambukiza wewe.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2013

    Mashoga wa nchi zilizoendelea wanafanya kila njia "kuupigia debe" ushoga, ukiongea na mababu zetu haya mambo ya ushogoa yalikuwa hayapo kwenye mila na desturi zetu, nanyi mnaosema kuna wamyama mashoga, ushaona lini fisi dume anammendea fisi dume mwenzake katikati ya serengeti? wanyama mashoga ni wale wanaokulia kwenye zoo na wako dume tupu bila mabinti, wana anza kubehave kama wafungwa vile.
    Wake up Africans, tusiige mila na desturi za ulaya na marekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...