Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wa
mwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba mojawapo ya AIRTEL YATOSHA
Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum na wataalam kutoka
shirika makini la nyumba Tanzania (National Housing Corporation)
Mahali iliko ni Kigamboni Kibada wilaya ya Temeke General View ukiwa
maeneo ya nyumba iliko Vitu vizuri unavyoweza kuviona ukiwa nyumbani
kwako endapo utaibuka mshindi ni pamoja na Uwanja wa Taifa, uwanja wa
ndege na utaweza kujione vizuri vikwangua anga vya jijini dar es
salaam kama vile PPF Tower, Uhuru height, Jubilee Tower, Serena Hotel
n.k Jiunge na kifurishi cha Airtel Yatosha SIKU, WIKI au MWEZI kwa
kupiga *149*99# na chagua kifurushi kitakachokufaa ili uwe mmoja wa
washindi watakaofaidika na nyumba hizi.
Nyumba zote Tatu zinavyumba vitatu vyakulala, Sebule, Jiko na Public
toilet na Garden nzuriiiii/ kaliiiiii......
Mwishoni mwa waki wadau wa vyombo vya habari na baadhi ya Blog
watatemebelea eneo hili kukujulisaha mambo mazuri zaidi
according to the plan there is no kitchen.
ReplyDeleteWhere is the Kitchen?
ReplyDeleteKitchen, behind the dinning room , you can see like small corner.
ReplyDeletemjengo wa kizamani. jiko liko uwani
ReplyDeleteUnapikia wapi? Nje?
ReplyDeletepoor design, no kitchen bwana
ReplyDeleteUzuri wa nyumba choo, jiko utakula kwa mama ntilie!
ReplyDelete