MAREHEMU ANNA BWENDA NTAMUBANO.


FAMILIA YA NTAMUBANO WA MUGOMA,NGARA INAWATANGAZIA RATIBA YA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANNA BWENDA NTAMUBANO YANAYOTARAJIA KUFANYIKA SIKU YA JUMATANO TAREHE 3 JULAI.

SAA TANO ASUBUHI KUTAKUWA NA CHAKULA CHA PAMOJA

IKIFUATIWA NA

KUAGA MWILI KUANZIA SAA SITA MCHANA
(NYUMBANI KWA MAREHEMU SINZA MUGABE).

SAA SABA KAMILI KUTAKUWA NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU KWENYE

KANISA LA KKKT SINZA KUMEKUCHA.

BAADA YA HAPO TUTAKUSANYIKA KWENYE MAKABULI YA KINONDONI KUANZIA SAA TISA KWA AJILI YA

MAZISHI.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE.
IMETOLEWA NA FRED ZG SSEBUYOYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2013

    Mwenyezi Mungu akupumzishe mahala pema Mama Adam, nashukuru sana kwa maono na mafundisho yako juu ya mapito ya ujana wangu. Mungu awatangulie, awalinde na kuwaongoza Mama zangu wote mliopo Sinza Mugabe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2013

    Mwenyezi mungu akulaze mahala pema Mama Anna nimepokea kwa masikitiko makubwa sana msiba huu.

    Josias (UK)

    ReplyDelete
  3. Ewe Mwenyezi Mungu mlaze mahala pema peponi mama yetu ,tutamkumbuka daima. .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...