Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2013

    Wakati TFDA wanatoa tahadhari hii kwa wananchi, suala moja najiuliza ni kwanini TFDA wamesubiri kwa muda mrefu hivi kabla ya kutoa tangazo hili? Watu wengi walishatumia na Taasisi hii ilikuwa inafahamu je kuna sababu zozote ambazo zimewasukuma kulitoa tangazo hilo sasa?? Ichube

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2013

    Njaa kali inasababisha unyanyafuzi wa ubongo na fikra, kwanza babu wa loliondo aliwavisha mkenke, sasa Ubuyu ndo dili.
    If you eat healthy, exercise at least five times a week (30 mins a time), have your five a day, have good family and friends network, know your Total cholesterol, HDL, LDL, HbA1c and make sure that they are within normal limits, maintain acceptable BMI, then you are fine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...