Kamishna wa Walipa Kodi Wakubwa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Neema G. Mrema (wa tatu kutoka kulia walioketi) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) Mhandisi Paul M. Masanja (wa pili kutoka kushoto walioketi) katika picha ya pamoja baada ya kikao cha wataalamu wa taasisi hizo mbili kujadili mikakati ya kuboresha ukusanyaji kodi kutoka sekta ya madini. Kikao hicho kimefanyika Julai 2, 2013 Giraffe Ocean View Hotel, Jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
WATAALAMU KUTOKA TMAA NA TRA WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA KUBORESHA UKUSANYAJI KODI KATIKA SEKTA YA MADINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hivii kuuliza sio ujinga, Inamaana wanakusanya kodi kwa woooote kabisa ama? Na ninani anatakiwa kulipa kodi jamani ebu nielewesheni wandugu?
ReplyDelete