Hii imekaaje wadau. Ni maeneo ya Posta Mpya hio... 
Ah, lakini iko siku tutafika tu
Mdau WM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hii imekaa kiutani sana ila tunaharibu lugha aisee. Hata wenye lugha ya English watatushangaa sana.

    ReplyDelete
  2. Muhimu ni Ujumbe ufike...watu wamezoea kukaa kwenye ofisi za watu bila kazi yeyote, wanaendekeza story za uongo na kiswanglish kibao, dawa yao ndiyo hiyo!!!! unawagonga na kiswanglish kwamba hakuna mjadala (No discustion) na wameelewa.......Chezea mshahara usichezee kazi!!!

    ReplyDelete
  3. Tafrisi ya hapo Mdau ni kuwa ''UGUMU WA MAISHA NI KIPIMO CHA AKILI''

    ReplyDelete
  4. huyu sijui amechanganyikiwa, ni sawa na darasa la saba wa kibongo ila pia ana u kenya ndani yake..

    ReplyDelete
  5. Bora yeye kakosea kiingereza ambacho ni lugha ngeni.Na wewe je na hicho Kiswahili "HIO" badala ya "HIYO".Anybody can make mistake ndugu yangu.

    ReplyDelete
  6. Kwa vyovyote huyu jamaa atakuwa ni Mchaga tena wa URU.

    ReplyDelete
  7. Bwana eee, si umeelewa?

    ReplyDelete
  8. Mimi naona sawa tu hapo hakuna jipya, kuna kitu kinaitwa CREOLE, language inakuwa ni mix of one parent language to another, ukiwasililiza west africa na carribean wanachanganya english/frech na lugha zao za asili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...