Home
Unlabelled
aluta kontinyua: Lugha gongana au ndio mwake?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii imekaa kiutani sana ila tunaharibu lugha aisee. Hata wenye lugha ya English watatushangaa sana.
ReplyDeleteMuhimu ni Ujumbe ufike...watu wamezoea kukaa kwenye ofisi za watu bila kazi yeyote, wanaendekeza story za uongo na kiswanglish kibao, dawa yao ndiyo hiyo!!!! unawagonga na kiswanglish kwamba hakuna mjadala (No discustion) na wameelewa.......Chezea mshahara usichezee kazi!!!
ReplyDeleteTafrisi ya hapo Mdau ni kuwa ''UGUMU WA MAISHA NI KIPIMO CHA AKILI''
ReplyDeletehuyu sijui amechanganyikiwa, ni sawa na darasa la saba wa kibongo ila pia ana u kenya ndani yake..
ReplyDeleteBora yeye kakosea kiingereza ambacho ni lugha ngeni.Na wewe je na hicho Kiswahili "HIO" badala ya "HIYO".Anybody can make mistake ndugu yangu.
ReplyDeleteKwa vyovyote huyu jamaa atakuwa ni Mchaga tena wa URU.
ReplyDeleteBwana eee, si umeelewa?
ReplyDeleteMimi naona sawa tu hapo hakuna jipya, kuna kitu kinaitwa CREOLE, language inakuwa ni mix of one parent language to another, ukiwasililiza west africa na carribean wanachanganya english/frech na lugha zao za asili
ReplyDelete