Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akimsikiliza Bi. Dina Lemmens akimweleza matarajio yake ya kutembelea vivutio mbalimbali Tanzania. Bi. Dina akiongozana na Kikundi cha Watalii saba watatembelea Tanzania na wakirudi Watashirikiana na Ubalozi kuitangaza Tanzania Ubelgiji. Bi. Dina akifuatana na Bi. Doreen Mwansi walimtebelea Balozi Kamala ofisini kwake, Brussels - Ubelgiji leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bora leo ile tie ya bendera imepumzishwa.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa Kwanza hivi kweli wewe ni Mwenzetu?

    Au wewe ni mmoja wa mabaki ya Wakimbizi wanaorudi kwao Rwanda kwa Kagame?

    Ile ndio tie ambayo wengi wetu wa Watanzania 'kamili' tunge penda tuwakilishwe na Mabalozi nchi za nje wanaovaa Tie za rangi ya Bendera yetu!!!

    ReplyDelete
  3. Nina wasiwasi na Uraia wa Mtoa maoni wa kwanza!

    Au wewe ni katika wale walio amrishwa na Raisi Kikwete warudi nchini kwao?

    Kwani la Balozi Kamala alikwambia anayo tai ya bendera moja tu sandukuni kwake?, anaweza kuwa nazo nyingi tu.

    Kuna ubaya gani kwa Balozi wa nchi kuvaa tai ya bendera ya nchi yake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...