Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano ndani ya Kibati.
Kazi ni moja tu, nayo ni Kongo kuwa huru, vijana shupavu wanawajibika pichani ni Mwanajeshi wa Jeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)akiwa kwenye Mapigano

Majeshi ya MONUSCO yanayoongozwa na Wanajeshi Kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ),yakidhibiti eneo la Kibati ilipokuwa ngome ya M23.
Picha Zote na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)-Upanga




jeshi la siku hizi hata watoto waliodeka wanaliweza. Yaani kuna ngao za goti na pepsi.
ReplyDeleteSi miaka yetu ilikuwa kavu kavu. Unatambaa kwenye miba na husemi fyoko.
Ebu ritandike risasi hiro kuruta, rinararamika bira rengo.
Proudly Tanzanian!!
ReplyDeleteTanzania DUME !
ReplyDeleteTunataka Wapiganaji muwakamate Makundi yooote ya Vita huko Mashariki ya Kongo (FDLR, M-23 ,ADF na mengineyo) na kulifanya eneo letu salama.
Ninamshangaa Raisi Kagame wa Rwanda kwa nini akatae Ushauri wa Raisi Kikwete kufanya maongezi na Kundi la FDLR?
Kama Marekani kwa Obama wanafanya mazungumzo ya Amani na kusitisha vita na Kundi la TALIBAN huko Afghanistan ambapo inajulikana ya kuwa TALIBAN ndio hiyo hiyo AL-QAIDA itakuwa wewe KAGAME NA RWANDA KWA NINI USIONGEE NA NDUGUZO WA SIKU NYINGI MLIO FARAKANA BANYAMULENGE KUNDI LA FDLR?
Pongezi Jemedari Mkuu Mhe. Raisi Kikwete na Wapiganaji wa Tanzania ktk UN-MONUSCO huko DRC-Kongo!!!
ReplyDeleteKwa maendeleo hayo ya vita pana kila sababu Raisi Kagame kuchukia ana lake jambo.
Wanaotegemea hali tete Mashariki ya Kongo ili wavune utajiri wa madini watafute njia nyingine ya kukabiliana na maisha maana Akaunti ya Bahati 'wizi wa madini' inaelekea kufungwa !!!.
Tunataka Afrika ya Mshariki utakayo kwenda nchi zote ni salama, sio yale mambo mnafika sehemumpaka msindikizwe na Askari.
ReplyDeleteChangamoto iliyobaki iwe ni Uchumi na ugumu wa maisha na kukabiliana na kuleta hali bora na sio suala la usalama na amani!!!