Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sawa kabisa anko Michuzi kabla ya libeneke sisi wa ughaibuni ni sawa na kuwepo kizani, hatukuwa tunapata "breaking news" za haraka
    kutoka Tanzania,ulipiga hatua kubwa saana kuanzisha libeneke la jamii, uzuri wake ulitupa habari za furaha,habari za misiba ya kuondokewa duniani kwa ndugu na marafiki,matukio ya mitaani, migongano ya kisiasa na burudani za michezo na mziki kwa wakati mmoja. Hongera saana kwa miaka 9 ya LIBENEKE LA JAMII
    mdau mikidadi
    Denmark

    ReplyDelete
  2. Hongera sana ndugu yangu Michuzi, juhudi zako zimeonekana na zinasaidia watu wengi na haswa sie tuliopo ughaibuni cku yangu hajakamilika nikiingia ofisini asubuhi globu yako ni kama breakfast nipate habari za nyumbani ndo kazi ianze....na nashukuru kwa kutupa jina la wabeba box limekaa mwake...hongera sana broda Michuzi..mungu akuzidishie!Ameen.
    mdau wa Oxford..Ukerewe.

    ReplyDelete
  3. Michuzi naona hwatakukaribisha tena ughaibuni manyumbani kwao kama ndiyo unawasema hivyo.http://www.youtube.com/watch?v=kizMsLq82hs&feature=player_embedded

    ReplyDelete
  4. Katika hili neno wabeba box nadhani hapa ankal umejipaka siagi kidogo. Hili neno mimi binafsi nimelisikia na kulitumia zaidi ya miaka 13 sasa.

    Zaidi ya hapo, ni kweli globu ya jamii imeunganisha nyumbani na diaspora kiwango chake na imeamsha wengine wengi kuhusu matumizi ya teknohama.

    ReplyDelete
  5. mdau wa juu umejichanganya kidogo ulichokisikia wewe ni usemi wetu Zamani miaka hiyiliyopita wa "passport za bongo" ndiyo tulikuwa tunajisemea umekuja au umebeba box la bongo nomah kwa kupata visa za ughaibuni,huu usemi wa wabeba ma-box kama kazi kwa sisi wa ughaibuni ni usanii haswa wa anko Michuzi ndiye aliuanzisha rudia kumbukumbu ya bloggi.

    mdau Mikidadi
    Denmark

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...