Home
Unlabelled
MALUMU KWA SHEREHE ZA MIAKA 9 YA GLOBU YA JAMII: ANKAL AONGEA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sawa kabisa anko Michuzi kabla ya libeneke sisi wa ughaibuni ni sawa na kuwepo kizani, hatukuwa tunapata "breaking news" za haraka
ReplyDeletekutoka Tanzania,ulipiga hatua kubwa saana kuanzisha libeneke la jamii, uzuri wake ulitupa habari za furaha,habari za misiba ya kuondokewa duniani kwa ndugu na marafiki,matukio ya mitaani, migongano ya kisiasa na burudani za michezo na mziki kwa wakati mmoja. Hongera saana kwa miaka 9 ya LIBENEKE LA JAMII
mdau mikidadi
Denmark
Hongera sana ndugu yangu Michuzi, juhudi zako zimeonekana na zinasaidia watu wengi na haswa sie tuliopo ughaibuni cku yangu hajakamilika nikiingia ofisini asubuhi globu yako ni kama breakfast nipate habari za nyumbani ndo kazi ianze....na nashukuru kwa kutupa jina la wabeba box limekaa mwake...hongera sana broda Michuzi..mungu akuzidishie!Ameen.
ReplyDeletemdau wa Oxford..Ukerewe.
Michuzi naona hwatakukaribisha tena ughaibuni manyumbani kwao kama ndiyo unawasema hivyo.http://www.youtube.com/watch?v=kizMsLq82hs&feature=player_embedded
ReplyDeleteKatika hili neno wabeba box nadhani hapa ankal umejipaka siagi kidogo. Hili neno mimi binafsi nimelisikia na kulitumia zaidi ya miaka 13 sasa.
ReplyDeleteZaidi ya hapo, ni kweli globu ya jamii imeunganisha nyumbani na diaspora kiwango chake na imeamsha wengine wengi kuhusu matumizi ya teknohama.
mdau wa juu umejichanganya kidogo ulichokisikia wewe ni usemi wetu Zamani miaka hiyiliyopita wa "passport za bongo" ndiyo tulikuwa tunajisemea umekuja au umebeba box la bongo nomah kwa kupata visa za ughaibuni,huu usemi wa wabeba ma-box kama kazi kwa sisi wa ughaibuni ni usanii haswa wa anko Michuzi ndiye aliuanzisha rudia kumbukumbu ya bloggi.
ReplyDeletemdau Mikidadi
Denmark