
Masanja Mkandamizaji afunguka alipolonga na Vijimambo kuhusu kudaiwa kuhusika na madawa ya kulevya na kuhusu kushikiliwa kwa Passport yake na Serikali, MSIKILIZE

Hii ndio Nyumba ya Ghorofa ya Masanja Mkandamizaji inayomhusisha na madawa ya kulevya


Asante Masanja kwa kuwapa wabongo ukweli , Ni wavivu kupindukia wanadhani pesa na utajiri unakuja kwa domooo
ReplyDeleteMm nishachoka na hii nchi tunako elekea,wabunge ndio hivyo wasanii mchwala ndio hivyo hivi watoto wetu wajifunze nn? Toka kwao
ReplyDeleteMh jamani naona kama ni uonezi! yani kuna watu wana mali sana hapo Dar hawaulizwi! Mungu tusaidie ili haki itendeke kwa wananchi wa Tanzania. Mungu aonekane ili wasio husika wasihusishwe na wahusika watajwe hata kama ni wabunge.
ReplyDeleteMasanja Mkandamizaji:
ReplyDeleteOhhh, pole sana ndugu yetu,
Waeleze Waheshimiwa Serikalini ya kuwa HUKUONGEZA MASIFURI KTK ANKARA ZA GHARAMA ZA SAFARI NA GHARAMA ZA KUENDESHA OFISI YA UMMA KAMA WANA VYOFANYA WAO, NA WALA HUKUUZA MADAWA bali umechanga change kwa Komedi ulizo shiriki na wenzako hadi ukajenga Ghorofa!!!
Hpwmuch is the house worth kwa mahesabu ya haraka haraka.
ReplyDeleteUna jaziba kubwa, hiyo inaonyesha kuwa unahusika, Lugha chafu ya nini kama wewe ni msafi?
ReplyDeleteKIKULACHO KI NGUONI MWAKO !
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha!
ReplyDeleteMabosi wa Serikalini acheni wivu wa maendeleo ya wenzenu msifikiri kila anayejenga Ghorofa ameiba fedha za Serikali kama ninyi kama Mdau wa juu anavyo sasambua.
Kumbukeni uwezo wa Kifedha na mafanikio hujengwa kwa jitihada, malengo na Mipango, ya kiukweli kama alivyo fanya Masanja Mkandamizaji!
ni kweli vigogo serikalini wanahusika lkn mapunda ni kina nani kama sio hao wasanii acheni kutetea ni miaka ya hivi karibuni tu ndio tumeona etii?? sanaa inalipa muangalini Mzee Gurumo huyo miaka 74 na hakuna alichovuna kwenye muziki. pili na wewe masanja kama hauhusiki jazba ya nini? huko kujifaharisha kwao ndio kunao waponza tuache kila siku kuitupia serikali lawama.
ReplyDeleteHe hehehe!
ReplyDeleteMdau wa 8 Serikali ina mzigo pia kwa suala la Mzee Gurumo kwa kuwa Bendi ile inasomeka kama Bendi ya Chama, Serikali na Taifa kiujumla!
Hivyo Serikali ilitakiwa iandike barue kwenye Mifuko yote ya Mafao ya Uzeeni (NSSF, NPF, PPF, LAPF na GEPF) ili kumfikiria Mtumishi asiye na Mkataba Rasmi aliyestaafu Gurumo ili naye apate angalau cha kwake!
Nilizani umesema wewe ni mlokole! au nimesikia vibaya? mlokole gani anatukana!!??
ReplyDeleteMasanja pole kama hauhusiki,kumbuka hakimu mkuu yuko mbinguni,haliwi hata kwa kusingiziwa,ataleta heri,!!!don`t lose ur cool!!Prayers conquer all.!!!hivi list ilisema wabunge na wafanyabiashara wakubwa,je diamond na masanja worth yao ngapi???? Na hiyo nyumba ya masanja ina worth kiasi gani????kweli????mbona ya kawaida,kwa mtu mhangaikaji .
ReplyDeleteI APLICIATE YUO SO MUCH BROTHER MASANJA SIJUI HATA NIKU APLICIATE KIASI GANI
ReplyDelete.BUT HUU SIO WAKATI WA VIJANA KUPOTEZA TIME KUFIKILIA UPUUZI WA WATU WA KALE AMBAO WALIAMINI KUA NA PESA NI KWA WATU FULANI LAKINI SIO SASA TUSIISHI KWA MAZOEA. JAMANI MBONA NASIKIA UCHUNGU SANA KUONA MTU MPAKA LEO ANA POTEZA MDA BURE. MSIKILIZE BWANA johann sebastian bach anasema NILIUMBWA KUFANYA KAZI KAMA WEWE NI MCHAPA KAZI KIKWELI KWELI UTAFANIKIWA KIKWELI KWELI. PIA bwana vincent lombardi ANASEMA TOFAUTI YA MTU AFANIKIWAYE NA ASIYEFANIKIWA SIO KUKOSA NGUVU WALA MAARIFA BALI NI KUKOSA NIA NARUDIA TENA NIA NIA NIA!CHAPA KAZI BROTHER
watanzania tuache kuyumbishwa. vigogo wa unga wanatuyumbisha ili tusiwakumbuke kwa kutueleza ya wakina masanja. unga unamilikiwa na watu mamilionea. wanaokamatwa na kusemwa na watu wenye "vijisenti". mlalahoi hawezi kusafirisha mzigo wa mabilioni. kwanza waache kutumia ndugu zetu walala hoi kwa kuwabebesha kisha wakikamatwa wanaozea jela wao wako nje wanaenjoy. iko siku ukweli na uongo utajulikana
ReplyDeleteMASIKINI AKIFURUKUTA AKAJENGA, ANAUZA UNGA. WAJENGE WAO MAGOROFA TU. SIKU ZAO ZINAHESABIKA
ReplyDelete