Harakati za
ukarabati wa bomba lililopasuka ukiendelea kwa kasi usiku wa kuamkia leo eneo la Buma Wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani
Naibu Waziri
wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini kazi ya
kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Archad
Mutalemwa usiku wa kuamkia leo
Kazi ikendelea kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kabla jua halijachomoza
Poleni sana mnatumia maji ya bomba maana wengine tumeshayasahau siku nyingi!
ReplyDeleteTunatakiwa kujiuliza kwa nini limepasuka ili kuepuka kujirudia kwa ttz hilo.
ReplyDeleteSi wengine wala hatuoni faida ya hilo likipasuka lisipopasuka sawa tu.Yaani mwezi wa tatu hakuna maji kabisa Kijitonyama yoote
ReplyDelete