Mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe (kulia)
akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mafunzo, Jumbe Omari Jumbe katika mchezo wa
kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Hekaheka katika lango la Mafunzo.
Beki wa Mafunzo Ali Vuai Juma (kushoto)
akichuana na mshambuliaji mpya wa Simba kutoka Burundi, Hamis Tambwe katika
mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa Mafunzo, Jumbe Omar Jumbe akimdhibiti mshambuliaji
wa Simba, Hamis Tambwe.
Golikipa wa timu ya Mafunzo ya Unguja, Ussi Makame Ussi akiwa
hana la kufanya baada ya kushindwa kuzuia kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa
Simba, Hamis Tambwe (kushoto) na kuipatia
timu yake bao la kwanza katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam. (Picha na Francis Dande)
Golikipa wa Mafunzo, Ussi Makame Ussi akiruka
bila mafanikio kujaribu kuokoa mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Simba, Hamis
Tambwe na kuhesabu bao la
kwanza kwa timu yake.
Hamis Tambwe akishangilia bao aliloifungia timu yake.
Picha na Francis Dande
Picha na Francis Dande




Duhhh ama kweli Simba amekuwa Simba luwala!
ReplyDeleteIna maana kama Maafande wanafunzi wange jikakamua waka zamisha mabao mawili zaidi (Simba 4-Mafunzo 5) mngekuwa mmelala!
Yaani Usajili wa Tsh. 500 Mil. ndio mnawafunga hao Polisi-Mgambo wanafunzi Mabao 4-3 tu?