Mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mafunzo, Jumbe Omari Jumbe katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
Hekaheka katika lango la Mafunzo. 
 Beki wa Mafunzo Ali Vuai Juma (kushoto) akichuana na mshambuliaji mpya wa Simba kutoka Burundi, Hamis Tambwe katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa Mafunzo, Jumbe Omar Jumbe akimdhibiti mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe. 
 Golikipa wa timu ya Mafunzo ya Unguja, Ussi Makame Ussi akiwa hana la kufanya baada ya kushindwa kuzuia kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe (kushoto)  na kuipatia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. (Picha na Francis Dande)
 Golikipa wa Mafunzo, Ussi Makame Ussi akiruka bila mafanikio kujaribu kuokoa mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe na kuhesabu bao la kwanza kwa timu yake.
Hamis Tambwe akishangilia bao aliloifungia timu yake. 
Picha na Francis Dande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duhhh ama kweli Simba amekuwa Simba luwala!

    Ina maana kama Maafande wanafunzi wange jikakamua waka zamisha mabao mawili zaidi (Simba 4-Mafunzo 5) mngekuwa mmelala!

    Yaani Usajili wa Tsh. 500 Mil. ndio mnawafunga hao Polisi-Mgambo wanafunzi Mabao 4-3 tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...