Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa ambayo mmekuwa mkiifanya hasa kuhakikisha watanzania wanapata habari kwa kila jambo linaloendelea kila kona ya taifa letu la Tanzania.
Ndugu waandishi wa habari nimewaita hapa ili kuzungumza nanyi na mnisaidie kufikisha ujumbe kwa watanzania hasa kuhusu jambo hili ambalo limekuwa gumzo kwa watanzania wengi la mbio za urais 2015 kwa baadhi ya watu ndani ya chama changu cha mapinduzi (CCM), kilichonisukuma zaidi na kupata hamu ya kuongea nanyi ni baada ya kumsikia -na kumuona kijana wetu ndani ya chama cha mapinduzi bwana Paul Makonda akiwa na ujasiri wa kukemea vitendo mambo haya yanayofanywa na baadhio ya viongozi bila uwoga wowote naomba tuchukue fursa hii kumpongeza sana kijana huyu.
Nadiriki kusema nampongeza kijana huyu hasa kwa kauli zake nzito na za kijasiri kwa maslahi ya chama changu cha CCM ili chama kiendelee kupendwa na kuchaguliwa na watanzania.
Namheshimu Mzee Malecela ila sasa anazeeka vibaya. Haya mambo ni kuongelea kwenye mikutano ya ndani ya chama. Sisi wananchi wa kawaida inatuhusu nini mambo ya ndani ya CCM?
ReplyDeleteI second
ReplyDeletemzee hatukushangai kuunga mkono kundi la membe kazi ya kumchukia Lowassa ulianza since 2005 endeleeni na mikakati na mama nyumbani lakini mjue Edward lowassa ni wimbi mtashindwa kulizuwia.
ReplyDeleteKinachosemwa ni cha uongo?
ReplyDeleteNilifikiri Malecela uwa ana busara kumbe....
ReplyDeleteNdiyo maana baba wa taifa alimkaliaga kohoni.
Hamna kitu anachotuambia hapa....
Sisi raisi wetu ni Lowassa 2015...kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
Kama kweli mlikuwa mnajenga chama mgeifikisha nchi hapa ilipo? (GDP per capita ~610USD)
Huyo Paul Makonda naye ninawasisi na elimu yake...ni wale wale wanaoenda na upepo.
Ukweli ni kuwa watu wanamuogopa Lowassa jembe la kweli...Nani amesema rais lazima awe masikini. Maraisi tuliokuwa nao ambao hawakuwa na hela wamefanya nini kubadilisha system mbovu?
We mzee kapumzike....