Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya  ufunguzi rasmi wa Studio mpya ya Muziki na Filamu uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari Shomari alipotembelea Studio ya kurikodia Muziki baada ya kufanya ufunguzi rasmi  uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wiazra ya habari Utalii Utanmadunu na Michezo Dkt. Ali Mwinyikai alipotembelea moja ya Studio ya kurikodia Muziki baada ya kufanya ufunguzi rasmi  uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,(wa pili kushoto)Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari Shomari
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine wakiwaangalia wasanii wanavyorekodi wakiwa Studio wa Muziki wa Audio alipotembelea Studio za Kurikodia Filamu na Muziki  leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja, ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...