Na Maggid Mjengwa

Pichani nikimalizia mita 100 za mwisho.
Najipanga sasa kuukabili Mlima Kilimanjaro mwezi Juni mwaka huu. Nataka kuhamasisha Watanzania wa Nyumbani Na Diaspora kuutangaza mlima huu mrefu kuliko yote Afrika sambamba na kuutetea theluji yake isije ikayeyuka kutokana na Mabadiliko ya Tabia Nchi ikiwamo uharibifu wa mazingira yanayouzunguka mlima huo.
Kuwepo na matumaini ya uhai wa Kilimanjaro. Soma makala yangu iliyochapwa kwenye # Africablogging kuhusu Kilimanjaro...http://www.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...